Recent content by Kama ipo ipo

  1. K

    JamiiForums Tanzania Waandamana wakitaka Miss Universe afukuzwe S.A

    Halafu hawa SA wanasifika pia kwa uvivu. Hivi rais wao anasemaje kwanza?
  2. K

    JamiiForums Tanzania Muhoozi Kainerugaba anataka kuanza kumkamua mkosoaji wake utumbo.

    Muhoozi ni kama maji kupwa maji kujaa halafu ni mdharirishaji huwa nahisi hata babake anashindwa afanyeje tuu. Juzi tuu hapa mara Beyonce is my wife mara flat screen wote wafungwe.
  3. K

    JamiiForums Tanzania Je. Mwanamke kuwa mahiri, mtamu na mtundu kitandani. Ni tiketi ndoa?

    Mwanaume asipoangalia pono huo utamu atausikia hata kwa kupapaswa tuu, kikubwa kupunguza fantasy kwa hedi! Ukitaka kuoa/kuolewa zingatia kama mmerandanaaa! Kuna watu bado wanatafuta utamu toka barehe mpaka wamestaafu ba hawajapata!
  4. K

    JamiiForums Tanzania Kada wa CCM, Bakari Kazungu, ambaye amekuwa akikemea uchawa, atekwa na kufanyiwa vitendo vya kikatili

    Aisee vitendo kama hivi vinatakiwa kukemewa na kila m TZ 🇹🇿. Sidhani kama hata kama angekuwa opposition angestahili kufanywa hivi. Laana tuu manina
  5. K

    JamiiForums Tanzania Baada ya interview 'Shuu Salon' nashauri DNA iwe lazima pale mtoto anapozaliwa. Cheti cha kuzaliwa kiambatanishwe na cha DNA

    Tabia hii ni mbovu kuna binti mmoja yupo kama mbili kasoro sababu ya kubarishiwa baba kila mwaka.
  6. K

    JamiiForums Tanzania Vifo vya Ebola vyafikia 1000 Congo

    Kumbe bado ipo mbona this time imepiga kambi.
  7. K

    JamiiForums Tanzania Zari na Shakib wametangaza kuwa wameachana rasmi

    Mkuu hiyo ni kama Big G itaisha utamu ila inatafunika., inavutika na unapuliza puto!
  8. K

    JamiiForums Tanzania Wema Sepeta acha usanii: IVF ni nini?

    Ukisikia kukaza fuvu ndio kama hivi! Huyo mtoto hana tofauti na watoto unaowajua wewee!
  9. K

    JamiiForums Tanzania Mshahara Laki 7 unavaa Tai hadi shingoni

    Aahaha kama unavaa tai achana nazo mkuu 😆 kwa mujibu wa mleta mada lakini!
  10. K

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa Marehemu Kibonde aomba msaada wa Kisheria kuhusu mirathi ya baba yake

    Aisee watu wenye watoto wenye baba/mama tofauti kama hawatajifunza kuweka mambo sawa mapema watawapa shida hao watoto wao.
  11. K

    JamiiForums Tanzania Watanzania, tafuteni hela. Hakuna kitu kizuri kama kuwa na hela

    Matajiri wa humu ukiwaendekeza watakulaza na viatu!
  12. K

    JamiiForums Tanzania Asma Majid: Bilionea mrembo anayetikisa Afrika

    Vipi hana mpango wa kufanya teeth alignment, angalau ma dr wambulie pesa za mabilionea wa ndani.
  13. K

    JamiiForums Tanzania Mshahara Laki 7 unavaa Tai hadi shingoni

    Mkuu kuvaa tai hadi shingoni inatakiwa uwe na salary ya shingapi roughly??
  14. K

    JamiiForums Tanzania Kuna Chuo wanajamiiana kuzidi IFM?

    Ikiwa hawajichakati basi hakuna tatizo na kama ni tatizo basi wachakataji nao pia waunganishwe hapa!
Back
Top Bottom