Mshahara wenyewe laki 7 Laki saba hiyo hiyo ndio inunue nguo, ilipe kodi, inunue chakula, na bado ujifanye mtu wa hadhi ya juu.Mimi naombeni kuuliza, hivi kweli wanalipwa laki 7???? Mbona wanamaisha magumu kuliko wanaoingiza 10k kwa siku. Kwa mwezi 300k. Shida nn??
NikweliUmezungumza ukweli, ila hao watu mara nyingi hawana majukumu, wamepanga chumba kimoja elfu 20 kwa mwezi, hawali sana chakula ndio maana hiyo hela inakuwa kubwa sana kwao pia ukijumlisha na posho zingine na safari za kikazi, kuiba ofisini....basi wanajikuta Wana Salio lingi sana. Mm nakumbuka 2015 nilikuwa nalipwa laki 3 tu huko musoma ila maisha safi, Leo zipo nyingi ila ndio hivyo. Mipango tu, na kujiheshimu plus kujitambua
kukopa mikopo ya hovyo ya mabenki kisa tu mnataka kumiliki kigari cha mitumba kisichozidi hata milioni 8 ili mradi mtaani muonekane, Gari yenyewe haina hata mafuta, mnaingia sheli mnaweka mafuta ya lita 3 au 5 kama unaendesha bodaboda! Hamuoni aibu kukatiza barabarani mkiwa mmejaza stress za engine kuwaka taa ya mafutaMimi naombeni kuuliza, hivi kweli wanalipwa laki 7???? Mbona wanamaisha magumu kuliko wanaoingiza 10k kwa siku. Kwa mwezi 300k. Shida nn??
Mshahara Laki 7 unavaa Tai hadi shingoni na Kunyanyasa Raia Maofisini?
Hoja
Wakuu Habari nataka niwatapike hawa viumbe wapumbavu wanaojiita wasomi na waajiriwa wa maofisini serikalini na makampuni.
Hivi huwa hamuoni aibu nyinyi , Mnaamka asubuhi na mapema mnapiga pasi mashati yenu yaliyochanika makwapa, mnavuta tai hadi shingoni kama mnaenda kunyongwa, kumbe ni makahaba wa mshahara.
Huu ni ugonjwa wa akili wa kiwango Mnasikitisha sana, yaani maisha yenu yote ni maigizo Fake Life, ya hovyo ili mradi tu mtaani wawaone wasomi, kumbe ndani ya mifuko yenu kuna njaa inayouma kama donda ndugu.
Mshahara wenyewe laki 7 Laki saba hiyo hiyo ndio inunue nguo, ilipe kodi, inunue chakula, na bado ujifanye mtu wa hadhi ya juu.
Hivi nyinyi mna akili kweli au mmerogwa na marehemu babu zenu?
Huu ujinga wenu wa kishamba, Mnakimbilia kukopa mikopo ya hovyo ya mabenki kisa tu mnataka kumiliki kigari cha mitumba kisichozidi hata milioni 8 ili mradi mtaani muonekane, Gari yenyewe haina hata mafuta, mnaingia sheli mnaweka mafuta ya lita 3 au 5 kama unaendesha bodaboda! Hamuoni aibu kukatiza barabarani mkiwa mmejaza stress za engine kuwaka taa ya mafuta?
Unamkuta msichana au mwanaume kashika faili, anamzungusha raia mmasikini hovyo kisa tu anataka kuonyesha ana madaraka.
Mtu kaja kufuata huduma, badala ya kumhudumia anaanza kumuangalia kwa dharau, kumnong'ona mfanyakazi mwenzake, au kujifanya yupo bize na simu huku anajipitisha na mafaili koridorini ili aonekane anafanya kazi kubwa. Huu ni ugonjwa wa akili na ushamba wa kiwango cha lami!
Wana tabia ya hovyo ya kunyanyasa raia wanaotafuta huduma ili tu kujifariji nafsi zao zilizojaa stress za madeni. Utasikia "Subiri nje" au "Njoo kesho bosi hayupo," kumbe bosi yupo ndani anakula kiyoyozi na yeye anataka aonekane na yeye ni mtu muhimu sana hapo ofisini.
Yaani wananyanyasa watu wanaowazidi hadi mitaji ya biashara kisa tu wenevya vitambulisho vya shingoni vinavyofanana. Wanajisikia sifa kuona watu wanyonge wanapiga magoti kuomba huduma, bila kujua kwamba huo ujinga wao ndio unaozidi kuwapeleka kaburini na laana za walala-hoi.
Mnaingia kwenye maofisi yenye viyoyozi, mnasema Kiingereza cha puani kikali, lakini mkichelewa kulipwa huo mshahara wenu wakawaida kwa siku mbili tu, mnaanza kupiga magoti na kukopa hadi kilo moja ya mchele kwa mzee wa duka la mangi uswahilini kwenu.
Inabidi mukubali ukweli mchungu. Wakati nyinyi mnahangaika kulinda hadhi ya kijinga ya vyeti vyenu vya chuo huku mkiishi kwa presha na vidonda vya tumbo kwa sababu ya madeni, mfanyabiashara wa kawaida mtaani anayeuza nafaka anawaingizia faida safi kwa siku ambayo haitolewi hata na bosi wenu wa ofisini
Amkeni nyinyi wa maofisini! Hiyo mikopo na tai zenu zitawapeleka kaburini mapema sana. Umri unaenda, mtaishia kustaafu mkiwa mmechakaa, hamna mbele wala nyuma, huku mkiacha watoto wenu wakiwa ombaomba mtaani kwa sifa zenu za kijinga.
Wakati wa awamu ya nne nilienda ofisi fulani ili nifungiwe umeme, niliendeshwa na hao wavaa tai, mpaka kufanikiwa jasho lilinitoka.Mshahara Laki 7 unavaa Tai hadi shingoni na Kunyanyasa Raia Maofisini?

Basi wacha hasira, sio wewe tu uliesoma ukakosa kazi mpo wengi.Aliokwmabia sijasoma Nani?
Mimi naombeni kuuliza, hivi kweli wanalipwa laki 7???? Mbona wanamaisha magumu kuliko wanaoingiza 10k kwa siku. Kwa mwezi 300k. Shida nn??
Aahaha kama unavaa tai achana nazo mkuu 😆 kwa mujibu wa mleta mada lakini!Yaani huyu jamaa anatupiga nyundo za kichwa maana kataja salary tunazopokea. Ila poa, maisha yanasonga.
Karibu Halmashauri ya Tanganyika upate huduma swafi bila manyanyaso wala masimango mkuu wangu baharia 1
Asee kumbe tuko wengi sana. Kuna benki moja nilikalishwa masaa 3 kumbe ishu ni ya dk 5 asee nilivyotoka kwenye ile namba ya kutoa maoni aseee niliandika kama gazeti simu zilifukuzana wakinisihi nimtaje aliyekuwa na dharau na sikusita nikamtaja hivyo sinaga muda wa kuremba, kunipotezea muda na wewe umekaa tu unakula kiyoyozi ni upuuzi. na ndio desturi yangu huwa siwachi salama piga simu makao makuu nikiwa nje ya jengo natema kero nasepa, atajua mwenyewe na boss wakeMshahara Laki 7 unavaa Tai hadi shingoni na Kunyanyasa Raia Maofisini?