Mshahara Laki 7 unavaa Tai hadi shingoni

Ndivyo dunia ilivyo mkuu, kula huku nile kule, tukutane pale.

Nimeshajikuta kwenye situation za kutoa huduma, kupokea huduma, kushawishi wateja, kushawishiwa na wanunuzi ninunue bidhaa zao, kwenye migomo ya mishahara au posho.

Mkuu mwisho niseme we ishi tu, hili bandiko lako halibadilishi tabia za hao uliowakusudia.
 
Mkuu kuvaa tai hadi shingoni inatakiwa uwe na salary ya shingapi roughly??
Yaani huyu jamaa anatupiga nyundo za kichwa maana kataja salary tunazopokea. Ila poa, maisha yanasonga.

Karibu Halmashauri ya Tanganyika upate huduma swafi bila manyanyaso wala masimango mkuu wangu baharia 1
 
[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Ndivyo dunia ilivyo mkuu, kula huku nile kule, tukutane pale.

Nimeshajikuta kwenye situation za kutoa huduma, kupokea huduma, kushawishi wateja, kushawishiwa na wanunuzi ninunue bidhaa zao, kwenye migomo ya mishahara au posho.

Mkuu mwisho niseme we ishi tu, hili bandiko lako halibadilishi tabia za hao uliowakusudia.
Ndohivo
 
Hv mkeo anajua juu ya ujinga unaouandka Jukwaan?

Ww mwenyew n masikini uliyechangamka hakuna tajiri mwenye uwekezaji wa 250M anashinda humu Jukwaan akitokwa na povu hv
 
Mshahara Laki 7 unavaa Tai hadi shingoni na Kunyanyasa Raia Maofisini?

Hoja

Wakuu Habari nataka niwatapike hawa viumbe wapumbavu wanaojiita wasomi na waajiriwa wa maofisini serikalini na makampuni.

Hivi huwa hamuoni aibu nyinyi , Mnaamka asubuhi na mapema mnapiga pasi mashati yenu yaliyochanika makwapa, mnavuta tai hadi shingoni kama mnaenda kunyongwa, kumbe ni makahaba wa mshahara.

Huu ni ugonjwa wa akili wa kiwango Mnasikitisha sana, yaani maisha yenu yote ni maigizo Fake Life, ya hovyo ili mradi tu mtaani wawaone wasomi, kumbe ndani ya mifuko yenu kuna njaa inayouma kama donda ndugu.

Mshahara wenyewe laki 7 Laki saba hiyo hiyo ndio inunue nguo, ilipe kodi, inunue chakula, na bado ujifanye mtu wa hadhi ya juu.
Hivi nyinyi mna akili kweli au mmerogwa na marehemu babu zenu?

Huu ujinga wenu wa kishamba, Mnakimbilia kukopa mikopo ya hovyo ya mabenki kisa tu mnataka kumiliki kigari cha mitumba kisichozidi hata milioni 8 ili mradi mtaani muonekane, Gari yenyewe haina hata mafuta, mnaingia sheli mnaweka mafuta ya lita 3 au 5 kama unaendesha bodaboda! Hamuoni aibu kukatiza barabarani mkiwa mmejaza stress za engine kuwaka taa ya mafuta?

Unamkuta msichana au mwanaume kashika faili, anamzungusha raia mmasikini hovyo kisa tu anataka kuonyesha ana madaraka.

Mtu kaja kufuata huduma, badala ya kumhudumia anaanza kumuangalia kwa dharau, kumnong'ona mfanyakazi mwenzake, au kujifanya yupo bize na simu huku anajipitisha na mafaili koridorini ili aonekane anafanya kazi kubwa. Huu ni ugonjwa wa akili na ushamba wa kiwango cha lami!

Wana tabia ya hovyo ya kunyanyasa raia wanaotafuta huduma ili tu kujifariji nafsi zao zilizojaa stress za madeni. Utasikia "Subiri nje" au "Njoo kesho bosi hayupo," kumbe bosi yupo ndani anakula kiyoyozi na yeye anataka aonekane na yeye ni mtu muhimu sana hapo ofisini.

Yaani wananyanyasa watu wanaowazidi hadi mitaji ya biashara kisa tu wenevya vitambulisho vya shingoni vinavyofanana. Wanajisikia sifa kuona watu wanyonge wanapiga magoti kuomba huduma, bila kujua kwamba huo ujinga wao ndio unaozidi kuwapeleka kaburini na laana za walala-hoi.

Mnaingia kwenye maofisi yenye viyoyozi, mnasema Kiingereza cha puani kikali, lakini mkichelewa kulipwa huo mshahara wenu wakawaida kwa siku mbili tu, mnaanza kupiga magoti na kukopa hadi kilo moja ya mchele kwa mzee wa duka la mangi uswahilini kwenu.

Inabidi mukubali ukweli mchungu. Wakati nyinyi mnahangaika kulinda hadhi ya kijinga ya vyeti vyenu vya chuo huku mkiishi kwa presha na vidonda vya tumbo kwa sababu ya madeni, mfanyabiashara wa kawaida mtaani anayeuza nafaka anawaingizia faida safi kwa siku ambayo haitolewi hata na bosi wenu wa ofisini

Amkeni nyinyi wa maofisini! Hiyo mikopo na tai zenu zitawapeleka kaburini mapema sana. Umri unaenda, mtaishia kustaafu mkiwa mmechakaa, hamna mbele wala nyuma, huku mkiacha watoto wenu wakiwa ombaomba mtaani kwa sifa zenu za kijinga.

Kweli umewachamba. Wamekuchengua Mwajuma Chachandu. Hawakujui we ndo mamaa wa Kanga Moko, Kanda ndembendembe na lakhi si pesa? Anyway.... Wanawake huwa hampendsni.
 
Heal bro. Wakiwa na mikopo or wakivaa tai, shida yako wewe ni nini?
you can just point out wrong things without being bitter.
 
Kikawaida, tai inavaliwa wapi?!??
 
Back
Top Bottom