Mkuu bado sijakuelewa. Kwamba wameona hatua nzuri ya kupandikiza hizo microchip ni kupitia chanjo ya korona na siyo ALU au chanjo ya Mgongo wazi kwa mama wajawazito ambazo hizo dawa zote hospitali zinatolewa kwa wagonjwa bila hata kuwa na wasi wasi. Ebu endelea kutoa elimu mkuu na elimu ikigusa...
Br mbona hizo microchip tumeanza kuziskia kabla ya korona? Je hizo microchip ni lazima zisambazwe kupitia chanjo ya korona pekee? Ebu toa elimu mkuu maana kuna wengine tunajua kuwa hapa kwetu hakuna chanjo yoyote tunayotengeneza wala hakuna dawa tulizogundua wenyewe lkn kila siku kwenye...
Mkuu sijui ni kigezo gani hutumika kumuita mtu askari. Hawa vijana wanapata mafunzo ya kijeshi kwa asilimia 25 na uzalishaji asilimia 75 kwa mujibu wa miongozo yao na hayo mafunzo wanayapata kwa muda wa miezi sita kisha wanapewa namba za kijeshi (force no) .
Siku ya kuhitimisha mafunzo...
Japo sina mashaka sana na ushindi wetu leo ila lazima wachezaji wetu wajitume na waweze kutumia nafasi vizuri sio km gem iliyopita tulikosa nafasi tatu za wazi
Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
Nenda mpaka mawasiliano tower ukiumaliza ukuta wa hilo jengo kuna kibao kimeandikwa law school hapo ifuate hiyo barabara ndogo ya lami itakufikisha getini
Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
Kwa arsenal kitu kinachopungua ni wachezaji kutokujituma lkn wakijituma tu kidogo wanaweza fanya maajabu
Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
Raha mpira ni pamoja na maajabu yaliyomo. Hakuna alietarajia matokeo ya Leicester na Villa hiyo jana
Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
Napigia hesabu kuanza safari leo mkuu ili kufikia kesho asubuhi niwe nimefika yaani nikianza safari leo saa kumi basi nisitumie zaidi ya masaa 18 njiani.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.