#COVID19 Askofu Gwajima ana chuki binafsi dhidi ya Rais Samia, hili la chanjo ni kupitishia tu chuki yake

Ila tukijaga hapo kwenye kuingizwa microchip ndo nachekaga kufa

Me angekua mume wangu hiyo aibu hata siiwezi aisee
 
katika watu waliotakiwa kukamatwa ni Gwajima. kasema mama kapewa hela na tena wafe sireously. akiachwa nitashangaa sana.
Yaani ujinga mwingine.Akamatwe kwa lipi?Mbona ukweli wanaujua kwamba Gwajima anayosema ni kweli,ila wame-bow tu to NWO cabal pressure.Mjinga ni wewe usiyejua kinachoendelea.
Mimi nitashangaa sana kama watamkamata.
Mkuu nikuambie hivii,wanamchi si wajinga,wanajua kinachoendelea.Samia anachukiwa sana na wananchi kwa sababu ya swala la C-19 na akifanya kosa la kumkamata Gwajima atakuwa amejigongomelea msumari wa mwisho.
 
Leo nimekaa nikaiskiliza video nzima ya Askofu Gwajima Youtube kitu nilichogundua ni kwamba Gwajima ana chuki binafsi kwa Rais Samia but ametumia kigezo tu cha chanjo kupitisha chuki zake.

Point kubwa aliyozungumza Gwajima ni kwamba tukichanjwa tunaweza kuwa tumewekewa chip na wazungu wakawa wanatuvcontrol wanavyotaka, mara baada ya muda tunaweza kuwa mazombi, mara chanjo ni mpango wa shetani na taasisi yake.

Mara nyingi alikuwa anakomaa kumu attack mtu japo alikuwa hataji lakini kwa akili ya kawaida utaelewa. Gwajima ametoa lugha za kashfa kwamba wanaoruhusu chanjo akili zao wameweka likizo. Mara anadai wamelipwa hela, mara anasema ni taasisi za mashetani.

Gwajima akawaambia waumini wake kuna watu wanawaambia mchome ila wao hawachomi wanachoma maji. Mwisho wa siku kamaliza kwa kusema ataombea wote wanaochoma wafe aliyechomwa afe anayechoma afe, hata atakayechoma maji afe.

Hii ni chuki ya wazi wazi, Gwajima hana point za msingi juu ya kupinga chanjo wala hana point za kisayansi anaongea upotoshaji, lakini kubwa inaonekana anamchukia sana Rais Samia.

Kama Gwajima anajua mabeberu wanampango wakutumaliza basi, angewaambia waumini wake wasikanyage tena hospitali maana kule ndio zimejaa dawa za kibeberu.
Gwajima anawakilisha SUKUMA GANG, kwa matendo yao utawajua, .
Mwenzake ni yule aliyefanya ziara songwe na kujifanya anasikiliza kero za wananchi.
 
chanjo ni hiyari lakini serikali inao wajibu wa kuwashawishi wananchi kupata chanjo ili kupunguza kasi ya maambukizi, kisha wananchi kwa hiyari yao watajifikiria maamuzi,

lakini sio asimame mwananchi mwingine aanze kuhubiri kwenye majukwaa kuzuia watu na kutoa taarifa za uongo? who is him? askofu Rashidi ni mpumbavu
Ulimsikiliza DR.Swai TBC?.Alichokiongea kina tofauti gani na aliyosema Gwajima?

Unasema tuchanjwe tupunguze Kasi ya maambukizi! Uko serious kweli? Seychelles si ndo nchi ilikuwa inaongoza hukusoma mlipuko uliotokea?

Hebu tueleze Basi wewe madhara ya muda mfupi na muda mrefu ya chanjo,maana ni mwerevu wewe kuzidi Gwajima.

Wewe Labda unachuki na Gwajima.
 
Gwajima anawakilisha SUKUMA GANG, kwa matendo yao utawajua, .
Mwenzake ni yule aliyefanya ziara songwe na kujifanya anasikiliza kero za wananchi.
Huaga CIA operatives mnajua kujenga concept za devide and rule kweli.What is the Sukuma Gang,there is nothing like that.Ni mjinga tu anayeweza kuamini kuna kitu kama hicho.Sisi wote ni Watanzania,ninyi ndio mnaotupandikizia chuki.Sijui CIA inawalipa nini kwa uovu wenu mnaofanya.
 
Yaani ujinga mwingine.Akamatwe kwa lipi?Mbona ukweli wanaujua kwamba Gwajima anayosema ni kweli,ila wame-bow tu to NWO cabal pressure.Mjinga ni wewe usiyejua kinachoendelea.
Mimi nitashangaa sana kama watamkamata.
Mkuu nikuambie hivii,wanamchi si wajinga,wanajua kinachoendelea.Samia anachukiwa sana na wananchi kwa sababu ya swala la C-19 na akifanya kosa la kumkamata Gwajima atakuwa amejigongomelea msumari wa mwisho.
Br mbona hizo microchip tumeanza kuziskia kabla ya korona? Je hizo microchip ni lazima zisambazwe kupitia chanjo ya korona pekee? Ebu toa elimu mkuu maana kuna wengine tunajua kuwa hapa kwetu hakuna chanjo yoyote tunayotengeneza wala hakuna dawa tulizogundua wenyewe lkn kila siku kwenye mahospitali yetu watoto na wamama wajawazito wanachomwa chanjo mbalimbali ambazo zinatoka kwa hao wazungu. Tena mbali zaidi ni kwamba kuna dawa tunazotumia kutibu magonjwa ya kawaida huwa zinabadilika kila mara ili kuongeza ufanisi au kupunguza maudhi kwa mtumiaje.

Sasa je huoni kuwa km ni upandikizaji wa hizo microchip wanaweza kutumia dawa za kawaida ambazo tumezizoea ili kuondoa watu kushituka mkuu. Ebu naomba utusaidie kutupatia elimu watu wa aina yangu mkuu juu ya microchip na chanjo ya korona na siyo dawa zingine zitokazo kwao
 
Leo nimekaa nikaiskiliza video nzima ya Askofu Gwajima Youtube kitu nilichogundua ni kwamba Gwajima ana chuki binafsi kwa Rais Samia but ametumia kigezo tu cha chanjo kupitisha chuki zake.

Point kubwa aliyozungumza Gwajima ni kwamba tukichanjwa tunaweza kuwa tumewekewa chip na wazungu wakawa wanatuvcontrol wanavyotaka, mara baada ya muda tunaweza kuwa mazombi, mara chanjo ni mpango wa shetani na taasisi yake.

Mara nyingi alikuwa anakomaa kumu attack mtu japo alikuwa hataji lakini kwa akili ya kawaida utaelewa. Gwajima ametoa lugha za kashfa kwamba wanaoruhusu chanjo akili zao wameweka likizo. Mara anadai wamelipwa hela, mara anasema ni taasisi za mashetani.

Gwajima akawaambia waumini wake kuna watu wanawaambia mchome ila wao hawachomi wanachoma maji. Mwisho wa siku kamaliza kwa kusema ataombea wote wanaochoma wafe aliyechomwa afe anayechoma afe, hata atakayechoma maji afe.

Hii ni chuki ya wazi wazi, Gwajima hana point za msingi juu ya kupinga chanjo wala hana point za kisayansi anaongea upotoshaji, lakini kubwa inaonekana anamchukia sana Rais Samia.

Kama Gwajima anajua mabeberu wanampango wakutumaliza basi, angewaambia waumini wake wasikanyage tena hospitali maana kule ndio zimejaa dawa za kibeberu.
Halafu anakamatwa Mbowe kwa ugaidi anaachwa Gwajima wa uhaini. Hii nchi ina mambo kwelikweli.
 
Br mbona hizo microchip tumeanza kuziskia kabla ya korona? Je hizo microchip ni lazima zisambazwe kupitia chanjo ya korona pekee? Ebu toa elimu mkuu maana kuna wengine tunajua kuwa hapa kwetu hakuna chanjo yoyote tunayotengeneza wala hakuna dawa tulizogundua wenyewe lkn kila siku kwenye mahospitali yetu watoto na wamama wajawazito wanachomwa chanjo mbalimbali ambazo zinatoka kwa hao wazungu. Tena mbali zaidi ni kwamba kuna dawa tunazotumia kutibu magonjwa ya kawaida huwa zinabadilika kila mara ili kuongeza ufanisi au kupunguza maudhi kwa mtumiaje.

Sasa je huoni kuwa km ni upandikizaji wa hizo microchip wanaweza kutumia dawa za kawaida ambazo tumezizoea ili kuondoa watu kushituka mkuu. Ebu naomba utusaidie kutupatia elimu watu wa aina yangu mkuu juu ya microchip na chanjo ya korona na siyo dawa zingine zitokazo kwao
Mkuu asante kwa swali zuri.Hawa watu wanafanya kazi zao kwa umakini mkubwa,na pole pole ili wasistukiwe.Yote waliyokuwa wanafanya huko nyuma zilikuwa hatua mbali mbali za kuwawezesha kufikia hatua hii ya sasa.Kwa bahati mbaya wengi tumelala sana,ndio maana wameweza kufikia hatua hii ya sasa.Ni hatua mbaya sana,kwa kuwa kwa mtu makini na diagnostic anaona wazi mauaji kupitia kwenye magonjwa kama BP,Cancers,Heart Diseases,Diabetes,
Herpatitis,HIV-Aids etc.,Ebola etc.Magonjwa haya make no mistake about it yanatokana na mifumo ya maisha na madawa waliyotuamisha kwamba ni salama,huku wakijua wazi kwamba wanatuingiza chaka.Infact kupitia kwenye madawa mbali mbali na mifumo mibovu ya maisha waliyotupandikizia kwa siri,ndiyo iliyowawezesha kufika hatua hii ya sasa.Uviko-19 ndio blow ya mwisho.Mkuu kupitia kwenye mbinu zao mbali mbali na utapeli wa Uviko-19,wanapanga kuua wanadamu takriban 7billion.Yes,that is how evil they are.
 
Wananchi wa wapi wanamchukia sana Samia?uthibitisho uko wapi?
Yaani ujinga mwingine.Akamatwe kwa lipi?Mbona ukweli wanaujua kwamba Gwajima anayosema ni kweli,ila wame-bow tu to NWO cabal pressure.Mjinga ni wewe usiyejua kinachoendelea.
Mimi nitashangaa sana kama watamkamata.
Mkuu nikuambie hivii,wanamchi si wajinga,wanajua kinachoendelea.Samia anachukiwa sana na wananchi kwa sababu ya swala la C-19 na akifanya kosa la kumkamata Gwajima atakuwa amejigongomelea msumari wa mwisho.
 
Mkuu asante kwa swali zuri.Hawa watu wanafanya kazi zao kwa umakini mkubwa,na pole pole ili wasistukiwe.Yote waliyokuwa wanafanya huko nyuma zilikuwa hatua mbali mbali za kuwawezesha kufikia hatua hii ya sasa.Kwa bahati mbaya wengi tumelala sana,ndio maana wameweza kufikia hatua hii ya sasa.Ni hatua mbaya sana,kwa kuwa kwa mtu makini na diagnostic anaona wazi mauaji kupitia kwenye magonjwa kama BP,Cancers,Heart Diseases,Diabetes,
Herpatitis,HIV-Aids etc.,Ebola etc.Magonjwa haya make no mistake about it yanatokana na mifumo ya maisha na madawa waliyotuamisha kwamba ni salama,huku wakijua wazi kwamba wanatuingiza chaka.Infact kupitia kwenye madawa mbali mbali na mifumo mibovu ya maisha waliyotupandikizia kwa siri,ndiyo iliyowawezesha kufika hatua hii ya sasa.Uviko-19 ndio blow ya mwisho.Mkuu kupitia kwenye mbinu zao mbali mbali na utapeli wa Uviko-19,wanapanga kuua wanadamu takriban 7billion.Yes,that is how evil they are.
Mkuu bado sijakuelewa. Kwamba wameona hatua nzuri ya kupandikiza hizo microchip ni kupitia chanjo ya korona na siyo ALU au chanjo ya Mgongo wazi kwa mama wajawazito ambazo hizo dawa zote hospitali zinatolewa kwa wagonjwa bila hata kuwa na wasi wasi. Ebu endelea kutoa elimu mkuu na elimu ikigusa uhalisia itakuwa imeeleweka zaidi kwamba kwanini watumie complex way kutumaliza/kutucontrol wakati kuna simple ways??
 
Back
Top Bottom