Developers wa JF app wamefeli upande huo.. Functionality nyingi unazopata kwenye web version hazipo kwenye app.. labda kwasbb ya CMS waliyotumia
Sent from my M2004J19C using JamiiForums mobile app
Hongera sana, lakni kama kweli ni siku yako ya 3 basi unaiga kunya kwa tembo utapasuka msamba..
Unless tayari una background knowledge ya programming you can go ahead otherwise umeanza kujibebesha mzgo mzto mapema sana you were supposed to start with basiiiiics..
Anyways kama kweli...
Akili hufanya kazi kwa ufanisi zaidi palipo na changamoto hasa kwenye dunia ya sasa ya kibepari, wapi utakaa bila toxic creatures hawa mpaka kwenye nyumba za ibada wamejaa wengi sana..
Imagine umezaliwa katika familia yenye narcist parents utahama nyumba?
Chamsingi sio kuwakimbia bali ni...
Sijui kwanini katika maisha yangu sijawahi kufukuzwa kazi, wakati najitafuta kabla sijaamua kufungua kampuni zangu nilikuwa naamuaga tu kuacha mwenyewe, na walikuwa wananililia sana niendelee kubaki
Sent from my M2004J19C using JamiiForums mobile app
Umetafsiri ulivyotaka wewe na sio main content ya habari halisi ilivyotaka..
Anyways twitter sijawahi kuipenda nimekuwa on-off kwa matukio maalum tu, luckily thread is here to rescue me
Sent from my M2004J19C using JamiiForums mobile app
Mkuu unaonekana una tabia za kuwala wafanyakazi wenzio ndomana hutaki wamjue mkeo..
Ila faida kubwa utaiona siku ukipata matatizo na mkeo ndo mtu wa kwanza kukusaidia akipewa taarifa na hao unaotaka wasimjue
Sent from my M2004J19C using JamiiForums mobile app
Uko sahihi kabisa, lakini the sad part of it kesho na kesho kutwa anaweza kukutana na logo kama yake kwenye same industry, akichimba zaidi anakuja kugundua ni hawa amacha designers ambao hawaumizi kichwa kuweza kuifanya logo izungumze kwa niaba yake kwa wateja wake..
Logo pekee haiuzi bidhaa...
Nikupe pole.. habari mbaya ambayo hutopenda kuisikia ni kwamba unaweza kupata logo pale kariakoo hata kwa elf20 lkn baada ya mwaka utajutia kuingia gharama kubwa zaidi kufanya rebranding..
Bora ugharamike leo kwa kupata kitu kizuri kuliko kuingia gharama kubwa kuirudia wakati ambapo brand yako...
Leaving certificate haioneshi matokeo ya mwanafunzi, ni karatasi inayoonesha mwanafunzi alimaliza shule fulani basi
Sent from my M2004J19C using JamiiForums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.