nashukuru mzima
JF-Expert Member
- Jul 11, 2017
- 1,011
- 1,915
.
Sijui kwanini katika maisha yangu sijawahi kufukuzwa kazi, wakati najitafuta kabla sijaamua kufungua kampuni zangu nilikuwa naamuaga tu kuacha mwenyewe, na walikuwa wananililia sana niendelee kubakiHabari.
Maisha yana panda shuka nyingi Sana.
Niambie sababu ipi ilikufanya ufukuzwe kazi.
Tuambie Tujifunze kitu.
Sent from my SO-01L using JamiiForums mobile app
Sio kwamba ulikuwa unajiwahi kabla hujafukuzwa[emoji16]SIjawahi kufukuzwa kazi.
Mara zote 4 nimeacha mwenyewe
Hapana mkuu.Sio kwamba ulikuwa unajiwahi kabla hujafukuzwa[emoji16]
Poa mkuuHapana mkuu.
Mimi nina changamoto 1 kubwa.
Sikaagi mahali hapana utulivu.
Yan ukitaka kuniweza mimi wewe nitengezee tu toxic atmosphere..Sichukui round naaga.
Napenda utulivu ili akil iwe na ufanisi
Akili hufanya kazi kwa ufanisi zaidi palipo na changamoto hasa kwenye dunia ya sasa ya kibepari, wapi utakaa bila toxic creatures hawa mpaka kwenye nyumba za ibada wamejaa wengi sana..Hapana mkuu.
Mimi nina changamoto 1 kubwa.
Sikaagi mahali hapana utulivu.
Yan ukitaka kuniweza mimi wewe nitengezee tu toxic atmosphere..Sichukui round naaga.
Napenda utulivu ili akil iwe na ufanisi
Kijana wa Hovyoo[emoji23][emoji23]Nilimla mchepuko wa director
ulikua work giant,,ulikua unakosa courage ya kuanzisha cha kwako. Work giants wengi huwa hawajijui mpk wafikie hatua kama yakoSijui kwanini katika maisha yangu sijawahi kufukuzwa kazi, wakati najitafuta kabla sijaamua kufungua kampuni zangu nilikuwa naamuaga tu kuacha mwenyewe, na walikuwa wananililia sana niendelee kubaki
Sent from my M2004J19C using JamiiForums mobile app