Tuliomaliza chuo 2015-2020 bila ajira mpaka Sasa tukutane hapa

lee jack

JF-Expert Member
Jan 17, 2017
976
1,562
Habari wakuu Kwa wale ambao tumemaliza chuo 2015-2020 na mpaka Leo hatujaajiriwa serikalini au kwenye private company lakini position nzuri sio vibarua tukutane hapa tuweze kupeana ushauri
Tujadiliane changamoto tunazokutana nazo na mbinu gani tutumie tuweze kupata ajira nzuri na za uhakika
Mimi naanza nimesoma ifm tatizo langu mpaka Leo sijaajiriwa Kwa sababu ya uoga wa kuapply kazi utumishi na pass yangu
Lakini Kuna wadau humu wamenipa moyo nisiogope pass pia wanaajiriwa Sasa nimeanza kuapply kazi na matunda nayaona kidogo Kwa mbali napata mwanga
Jamani wengine mjitokeze tuambiane ni sababu gani hatuajiriki
Au ni changamoto gani inapelekea hali hiyo
Na jinsi gani au mbinu gani tutumie kutengeneza connection
Nawasilisha
 
Screenshot_20231028-205531.png
 
Kabla sijacomment chochote bilashaka wewe ni graduate wa 2020+
 
Back
Top Bottom