Recent content by kalipeni

  1. kalipeni

    JamiiForums Tanzania Consistency ya Tundu Lissu kukosoa serikali za awamu zote inafanya watu wamuamini tofauti na wale Wanasiasa wa msimu

    Uko sahihi ata kipindi cha sakata la escrow aliwakaanga hadi maaskofu wa katoliki na bank yao japo yeye ni mkatoliki.
  2. kalipeni

    JamiiForums Tanzania Kurudisha harufu ya ndani ya gari

    Probox unauzia kuku na mayai harufu ya gari haiwezi dumu.
  3. kalipeni

    JamiiForums Tanzania Kurudisha harufu ya ndani ya gari

    Gari za ulaya ndio harufu ya gari inadumu na haipotei Lakini hizi zingine mama akishabebea samaki au vitunguu kwisha habari
  4. kalipeni

    JamiiForums Tanzania Mazda Demio 2008/2011

    Sio kwa shem peke yake ata wewe itakufaa gari ni nzuri. Unamaanisha hutaigusa kabisa😁
  5. kalipeni

    JamiiForums Tanzania KWELI Mwili wa binadamu una dhahabu ndani yake, ila kwa kiwango kidogo sana

    Tukiwa shule ata gari ya redcross inakuja ukisikia nyonya damu wanakuja tunakimbia tunaacha ndala 😅
  6. kalipeni

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya Rufaa yatupilia Mbali Maombi ya DPP ya Kuongeza Ushahidi Katika Kesi ya Tundu Lissu

    "Kaka Kesi ishakua ngumu huku aliyemletea chai mtuhumiwa nae kawekwa ndani"
  7. kalipeni

    JamiiForums Tanzania Askofu Ruwai'chi: Tusiwe Wakatoliki wa Vijora na kuhongwa

    Roma locuta causa finita est
  8. kalipeni

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa marehemu John Komba amshauri mtoto wa Ndugai... CCM sikieni

    Dogo anafananisha mwanakwaya na mzee kazi 🤣🤣🤣
  9. kalipeni

    JamiiForums Tanzania Nime share a hotel room na rafiki yangu wa kiume

    Mumeo uliniomba pesa ya malazi na chakula kipindi chote utakachokua training nikakupa, kumbe ukashare room na mwanaume sijapenda.
  10. kalipeni

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua shule nzuri kwa wasichana

    Mpeleke mchanganyiko akachangamke na wenzake zipo shule za mixer za dini na kawaida zinafanya vizuri jiulize kwanini?? Muda mwingine mnawatengezea watoto upweke usio na ulazima unaathiri hadi masomo yao angalia matokeo ya St marys ulete au St dominic savio utapata jibu
  11. kalipeni

    JamiiForums Tanzania Marekani na Marafiki zake wameishaingia kwenye Mtego wa Iran. Hakuna rangi wataacha kuona

    Andiko limekaa kinazi sana WAMEKWISHAAAAAA 🤣🤣
  12. kalipeni

    JamiiForums Tanzania Kipigo kikubwa chashushwa Telaviv majengo mengi yamegeuzwa magofu

    Yemen mnafiki sana sasa anacheka nini😁
  13. kalipeni

    JamiiForums Tanzania Iran yawa nchi ya kwanza kuangusha ndege isiyoonekana katika rada ya aina ya F-35

    Iyo mizinga katikati ya jiji na makazi ya watu uniambie wamekufa watu wawili labda kama waisraeli miili yao haaiingii makombora
  14. kalipeni

    JamiiForums Tanzania Iran yawa nchi ya kwanza kuangusha ndege isiyoonekana katika rada ya aina ya F-35

    Kwa hiyo video machache yameharibiwa mengi yamepenya.
Back
Top Bottom