Recent content by Kalikenye_91

  1. K

    JamiiForums Tanzania Mke wa Tony Kapola: Gesi iliisha akapulizia tuu puuuh, gesi ikajaa tukapika

    Dah, huu ni upofu wa akili
  2. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Shukrani
  3. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Kwa waliopata post za TFS hususani wale awamu ya kwanza wa trh 30/4, barua ya kupangiwa kituo unapeleka TFs Dar au Dom Nina dogo kabahatika. Natanguliza shukrani.
  4. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Aisee kwanza kabisa nikupongeze kwa kupata ajira. Jingine, kupitia huu ushuhuda wako Kuna vingi vya kujifunza na unatia chachu kwa watafutaji kutokukata tamaa.
  5. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Hongera sana mkuu, nikikumbuka ulivyokuwa umewakatia tamaa
  6. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Mwambie ameshapangiwa kituo akaripoti tu.
  7. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Wakuu salama, Samahanini kwa yoyote mwenye maswali ya Data analyst practical naomba anisaidie. Au anaejua abc zozote za kushauri. Naomba kuwasilisha Asante
  8. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Waliowahi kufanya usahili data analyst na database administrator msaada wa ABC ili kutoboa
  9. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Fanya nao mawasiliano mapema, inawezekana kufanyia moro
  10. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Kuwa na subra
  11. K

    JamiiForums Tanzania PSRS interview questions (written, pract & oral)

    Wakuu habari, naweza kupata abc za usahili wa Forest Guard TFS. Msaada tafadhali
  12. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    MDa and LGA wamekuwa wakitoa majina kwa baadhi ya kada na kuwafanyisha usahili, kwenye mkeka huu afisa hesabu wenye CPA nadhan ndo walioitwa kwanza, endelea kuwa na subira kama umeitwa au lah lazima utaona mabadiliko kwenye akaunti yako
Back
Top Bottom