PSRS interview questions (written, pract & oral)

PSRS interview questions (written, pract & oral)

Bora wewe ambaye ushaingia oral kadhaaa sisi wengine tunaishia written tu nadhani siku iyo nikiingia oral ya utumishi basi kazi nimepata
Hahaa na nyie mnawaza kama mimi kumbe, yaani siku nikiona account yangu inaonyesha selected for oral interview , yaani mimi najua kazi tayari bila chenga kabisa. ,,,,, anyway mwenye written interviews za human resources officer atupee Nondo jamani. pia kuna zile post za admission officers na quality assurance officers za NACTVET sijui mitihani yake inakuwaje kwa ambae alishafanya hata written anaweza kusaidia wengine kubrush brain kidogo.
 
Yoyote aliyewahi kufanya interview ya social worker II ... Nataka kupata ufahamu
 
1.La kwanza education background/introduce your self/your history
2.duties zako hili hutegemeana wakati mwingine wanakuuliza your daily routine ndo hizo hizo duties
3.challenge za kazi yako na kuzisolve
4.ujue mambo mengi ya kazini kwako
Ulipata post gani mkuu?
 
Wadau tusaidiane hapa kwa ambao wameshawahi fanya practical kuhusiana na Engineer II (Electronics) maswali yanakuaje??
 
Hayo maswali ya list, mention ni uduwanzi kumpima mtu Ili umpe kazi maana yanahitaji kukrem kwann usimuulize mtu maswali ya kujieleza Ili kupima uwezo wake?
 
Back
Top Bottom