Recent content by Kaliculus

  1. Kaliculus

    JamiiForums Tanzania Hakuna experience ya huzuni kuu kama ya kufiwa na mke/life partner

    Pole sana Mkuu
  2. Kaliculus

    JamiiForums Tanzania Kafaulu Form 4, kachaguliwa kwenda Chuo. Je, anaweza kufadhiliwa na Serikali kwa ada na malazi?

    Mimi wakwangu kapangiwa Mwanza, college of bussiness education. Hapa napo vipi kuhusu ada? Kuna unafuu wowote wa ada?
  3. Kaliculus

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Nicheck PM tuyajenge
  4. Kaliculus

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo Simiyu aje Moro au Tanga au Pwani. Idara Sekondari Mathematics
  5. Kaliculus

    JamiiForums Tanzania Mapendekezo ya PAYE-Pata jibu mshahara wako utakuwaje

    Hii nyongeza inaanza mwezi gani?
  6. Kaliculus

    JamiiForums Tanzania Wazamiaji wa miaka ya 90

    Mkuu umenikumbusha wimbo wa wagosi wa kaya nadhani. Mwamba kazamia meli kuja kuibuka yuko Kigamboni. Na safari ya Ulaya ikaishia hapo[emoji1][emoji1][emoji1]
  7. Kaliculus

    JamiiForums Tanzania NMB Tanzania Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Kwa sisi tulioanza kazi SALARY ADVANCE haikubali siyo
  8. Kaliculus

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini Wanaume wengi siku hizi mmegoma kuzama chumvini?

    Basi kila mtu na uraibu wake. Yaani chumvini hata PAPA MKAVU anaafadhali. Tuliokula kipande cha papa mkavu kwa ugali tunajua
  9. Kaliculus

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini Wanaume wengi siku hizi mmegoma kuzama chumvini?

    Yeye alikupa jibu gani? Tuanzie hapo
  10. Kaliculus

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo Simiyu nije Moro au Pwani. Idara Sekondari
  11. Kaliculus

    JamiiForums Tanzania Muigizaji mpya wa "Money Heist" La Casa Dela Papel kupewa jina la mji wa Tanzania

    Kilimanjaro 2in1
  12. Kaliculus

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuflash simu za kichina (android phones)

    Hivi ukiflash sinu si unabadili hadi IMEI mkuu? Je, is't legal to flash a phone? Yaan kisheria ikoje? Maana nishaona jamaa kadakwa kwa kuflash simu. Naomba msaada kwa hili tafadhali
  13. Kaliculus

    JamiiForums Tanzania Msaada: Tumetapeliwa!

    Mfano, mimi nishawahi kufanya kazi ya kusajili lain. Kwenye kumuunganisha mteja na either huduma ya M-pesa, Airtel Money etc lazima mteja akupatie simu yake. Unapofikia kipengele cha kuweka password unatakiwa umpe mteja aweke mwenyewe, sasa wateja wengi, hasa kina mama (wanawake) atakwambia weka...
Back
Top Bottom