Kafaulu Form 4, kachaguliwa kwenda Chuo. Je, anaweza kufadhiliwa na Serikali kwa ada na malazi?

Zeru

Senior Member
Jul 20, 2018
186
64
Habarini wadau,

Nina dogo langu alimaliza form 4 mwaka jana na kupata division 1 ya 14, amechagulia chuo cha Kibaha kwa kozi ya Clinical Medicine na Tamisemi.

Swali langu ni kuwa je, kwa hiki chuo anaweza kupata ufadhili kutoka serikalini kwenye issue za ada pamoja na malazi?
 
Ada za serikali ni ndogo si km private lazima alipe pia hostel zpo na malazi atachangia kdgo.......kiufupi ashukuru mungu amepata gov gharama n ndogo mnoo
 
Kiukweli Mkuu sijawahi kusikia mtu amefadhiriwa kwa ngazi ya Astashahada na stashahada,
labda sijui tuwasikilize wataalamu
 
Hapo hawezi kupata ufahili wa serikali, ila kama ada ni kubwa basi anaweza kuomba nafasi Chuo cha Madini Dodoma, ada zao ni nafuu sana.
 
Mimi wakwangu kapangiwa Mwanza, college of bussiness education.
Hapa napo vipi kuhusu ada?
Kuna unafuu wowote wa ada?
 
Hakuna unafuu wowote wa ada mkuu.
Hapo serikali wanawavisha watu miwani ya mbao.
Kinachotokea ni kwamba kuna shule nyingi za kata za olevel lkn za alevel ni chache kwa hyo kinachotokea form 4 wanafaulu wengi halaf wanakosa pa kuwapeleka.
Kuna rafiki zangu wadogo zao mwaka juzi walimaliza form 4 wakafaulu posts zilivyotoka wakapangiwa kusoma certificate ya finance chuo cha IFM ada ni zaidi ya laki 8 na kula na malazi ujitegemee sasa hapo wamekusaidia nini
Mimi wakwangu kapangiwa Mwanza, college of bussiness education.
Hapa napo vipi kuhusu ada?
Kuna unafuu wowote wa ada?
 
Kiukweli Mkuu sijawahi kusikia mtu amefadhiriwa kwa ngazi ya Astashahada na stashahada,
labda sijui tuwasikilize wataalamu
Vyuo vya ufundi kama ATC, MUST na DIT ufadhili upo japo wana contribute kidogo ila ni kama free tu
 
jamani, nmepitia selection za madogo, wengi waliochaguliwa vyuoni wana sifa za kwenda advance, mimi nawakaribisha shuleni kwangu IBRA HIGH SCHOOL..ada ni nafuu sana kulinganisha na chuo, na inalipwa kwa awamu nne na kuhusu kufaulu hilo ondoa shaka.
 
Weka matokeo kwa masomo yote ya huyo muhusika, maana 1 ya 14 kupangwa chuo hat km n course nzuri, bora angepangwa PCB ktk shule za kati.
 
Back
Top Bottom