Recent content by Kali Kenye

  1. Kali Kenye

    JamiiForums Tanzania Odama huvumi lakini umo

    Big up odama.
  2. Kali Kenye

    JamiiForums Tanzania Odama huvumi lakini umo

    Bora hata yeye anafanya kimya kimya, ndo maana huwa namfagilia kinoma noma.
  3. Kali Kenye

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nataka kutumia fursa...

    Izo ndom zinapunguza mzuka bhana. Kama una hiv proof niletee tafadhari.
  4. Kali Kenye

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania "Mume wa mtu mtamu bana" ...

    ebu fafanua, ukijua kumtumia kivipi?
  5. Kali Kenye

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania "Mume wa mtu mtamu bana" ...

    ukijua kumtumia kivipi?
  6. Kali Kenye

    JamiiForums Tanzania Nimeikuta mahali nikacheka, kama hajawahi iona cheka na wewe ila usijaribu

    Mhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh
  7. Kali Kenye

    JamiiForums Tanzania Mwanza City on a major Shopping project

    Kwa iyo tusubiri mpaka magari yawe mengi?
  8. Kali Kenye

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nataka kumsaliti mume wangu

    Inaonekana wewe ndo huna kitandani, cha kufanya si kumsaliti uyo mwanaume wako, ongeza mbwembwe mdada mbo hatarudi. Nataka nku hakikishie kwamba kamwe huwezi shindana na mwanaume kwa uamuzi unaotaka chukua. Pia hujasema kama umezaa nae au laaa. Take care, utapotea.
  9. Kali Kenye

    JamiiForums Tanzania Mwanza City on a major Shopping project

    Ni muda mrefu sana tangu niondoke MWANZA, nimeskia kuna miradi mikubwa sana ya kibiashara inayoendelea kujengwa hapo mjini, ikiwa ni pamoja na MWANZA CITY COMPLEX, Kituo cha kibiashara cha B.O.T pale ilipokuwa CLINIC ya zamani, pamoja na uwanja wa ndege wa kimataifa wa MWANZA. Nimekuwa na...
  10. Kali Kenye

    JamiiForums Tanzania Mwanza City on a major Shopping project

    Acha wakupambe mwanza yetu. Ila mkumbuke kuipanua barabara ya town to airport, kwani haitatosha, pinndi barabara iyo itakakapo malizika.
  11. Kali Kenye

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Usifikirie kuoa mrangi hata siku moja!

    ''if u want 2 shine lyk ze sun first u have 2 burn lyk it''
  12. Kali Kenye

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nombeni ushauri jamani

    sasa mkuu wa chuo kawaje jamani?
  13. Kali Kenye

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nombeni ushauri jamani

    Mie ni kijana wa miaka 24, ni mwanafunzi wa udaktari mwaka wa 3 ktk chuo kikuu cha kcmc, nina mpenzi wangu ambae tumekua kwe love toka form 5, lakin nmetokea kumpenda housegirl wetu. nahisi kuchanganyikiwa na penzi la mtoto uyu wa kitanga. NAOMBENI USHAURI.
  14. Kali Kenye

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wababa mukichepuka musitoe dozi kubwa...Tunachanganywa

    hata mimi ningekupata mbo ungejuta bibie!
  15. Kali Kenye

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Matokeo ya simba na yanga

    nashukuru kwa matokeo hayo, yatosha?
Back
Top Bottom