Matokeo ya simba na yanga

Yanga wamechomoa kwa mkwaju wa penati iliyopigwa na Said Bahanuzi dakika ya 65.
 
Simon Msuva wa Yanga anapewa kadi nyekundu dakika 75 baada ya kumchezea vibaya Said Nyoso. Mira umeisha 1-1.
 
Jioni hii hata hali ya hewa imebadilika.simba katawala.simba wanatisha km njaa
 
Back
Top Bottom