Lowassa ni mroho wa madaraka...kikwete alilijua hilo ndio maana akamkataa...huwezi kuwa na mgombea kama Lowassa...amejishushia heshma yake bure hakuna alichopata huko chadema...
Amekiuka kifungu namba 35 cha sheria ya huduma ya habari ya mwaka 2016. ni kosa kwa mtu yeyote kumkashifu mtu au kuchapisha maelezo yenye kumkashifu mtu hata kama amefariki...
Nilichogundua mtoa uzi huna elimu na dini yoyote....ndio maana unachukua matendo ya binaadamu na kuakisi kwenye dini zao....soma ujue dini zinasema nini kuhusu yatima, wagonjwa, maskini, watoto na wazee, pamoja na kushirikiana kwenye jamii...HAKUNA MCHA MUNGU ASIYE NA DINI kama huna dini wewe ni...
Diamond na Dudu Baya wanasubiri afe ruge baadae waje kusema wameguswa na msiba...mda ni huu kama hamuwezi kutoa basi ata kuhamasisha uwepo wenu ni muhimu....kwa maisha yake....mondi fanya jambo utajiletea heshma kubwa na mungu atakulipa inshaallah
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.