kifusi boy
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 1,141
- 1,752
- Thread starter
- #21
Stupid visual trick, hamna kitu hapo
Hebu punguza parallax error mzee kdg
Stupid visual trick, hamna kitu hapo
Yaan tangu uijue editing kwahyo basi kila picha unayoiona ni editingHii Ni editing ya wazi kabisa hata kama ni malformation sio kwa hyo miguu ya nguruwe
Subiri waje..Alah kumbe miguu ya majini sawasawa na miguu ya nguruwe.
Kwa hiyo majini=,nguruwe
Kwa hiyo uislam= majini
Kwa hiyo uislam = majini=nguruwe
The way jina hili la Ben Stiller ni mtu anayehubili na kuhamasisha kusurpot ushoga.na ana shirika lenye kampeni anaiita Christchurch.Kiufupi huyo ni mtu wa Shetani kwa %100 usimshangaeHabari Wakuu...
Kuna picha nimeiona mahala ikionyesha mtu kwa jina kwenye ile account yake ni Ben Stiller (cocochiecrumbs), jamaa dizaini kama alikua anaonyesha CD fulan sasa kilichoonekana si ile CD pekee bali beyond that CD ambacho ni miguu yake
Miguu ile bwana ni kwato si kwato, ulemavu si ulemavu, basi tafrani tupu...Hebu iangalieni kwanza halafu tuambizane katika ulimwengu wa sasa ile miguu ni possibly kutokea?
Mauza uza haya ni ya kweli ama ni editing tuu kutaka kutuzubaisha dunia au ni miguu yake halisi labda ni impairment fulan hivi au ndo jini kweli au la?
Ukicheki location ya jamaa ni San Diego, California Marekani sasa uzunguni kule nako kuna mauza uza kama haya au ndo Alien Species?
Check account yake hii
View attachment 1049347
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi mbona havina kucha km vya benViatu tu hivyo amevaa. View attachment 1049491
Lakini mkuu sio kwa miguu ile bana, kwato kabisa yaan
Mbona kama unapepesa macho
Habari Wakuu...
Kuna picha nimeiona mahala ikionyesha mtu kwa jina kwenye ile account yake ni Ben Stiller (cocochiecrumbs), jamaa dizaini kama alikua anaonyesha CD fulan sasa kilichoonekana si ile CD pekee bali beyond that CD ambacho ni miguu yake
Miguu ile bwana ni kwato si kwato, ulemavu si ulemavu, basi tafrani tupu...Hebu iangalieni kwanza halafu tuambizane katika ulimwengu wa sasa ile miguu ni possibly kutokea?
Mauza uza haya ni ya kweli ama ni editing tuu kutaka kutuzubaisha dunia au ni miguu yake halisi labda ni impairment fulan hivi au ndo jini kweli au la?
Ukicheki location ya jamaa ni San Diego, California Marekani sasa uzunguni kule nako kuna mauza uza kama haya au ndo Alien Species?
Check account yake hii
View attachment 1049347
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu jamaa alifungwa miaka 7 huyu dahView attachment 1049414
Hii ndio picha ambayo watu wengi hawakuamini walivyoona.
Show ya kwanza ya Buju Banton huko jamaica tangu atoke jela uwanje ulifurika kama jamaica yote ilikuwa hapo
Ukiangalia vizuri utagundua huo mkono, na kuanzia hapo kwenye bukta hadi kwenye hizo kwato hakuhusiani.Habari Wakuu...
Kuna picha nimeiona mahala ikionyesha mtu kwa jina kwenye ile account yake ni Ben Stiller (cocochiecrumbs), jamaa dizaini kama alikua anaonyesha CD fulan sasa kilichoonekana si ile CD pekee bali beyond that CD ambacho ni miguu yake
Miguu ile bwana ni kwato si kwato, ulemavu si ulemavu, basi tafrani tupu...Hebu iangalieni kwanza halafu tuambizane katika ulimwengu wa sasa ile miguu ni possibly kutokea?
Mauza uza haya ni ya kweli ama ni editing tuu kutaka kutuzubaisha dunia au ni miguu yake halisi labda ni impairment fulan hivi au ndo jini kweli au la?
Ukicheki location ya jamaa ni San Diego, California Marekani sasa uzunguni kule nako kuna mauza uza kama haya au ndo Alien Species?
Check account yake hii
View attachment 1049347
Sent using Jamii Forums mobile app
I think this was a prank. Na intention ya jamaa ilikua ni hizo kwato kuonekana. just another internet buzz nothing extra.Habari Wakuu...