Kuweni makini, huyu jamaa Mchange, ana lake. Kama nikutumwa haya kajizatiti kweli. Kwanini aibuke leo na tuhuma hizi nzito wakati tunaelekea uchaguzi mkuu? Kuna kitu hapa? Fungueni macho!
Wote hajui wanaloliongelea, ni ushabiki na kufurahisha uma tuu wa mlengo fulani. Hawajui tatizo lililopo la maeneo hao, wanaongea tuu without clear and unbias historical background. Wanaropoka tu kwavile wana PhD. PhD kwawengi hapa Africa haina tija, wana baki ku copy and paste na hoja zao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.