The only thing is to believe in Gog our Almight na kusimama ktk imani yako japo c mbaya kujua mambo mengine lkn ni mbaya kuyafuatilia maana shetani kabla ya kuangushwa alikuwa malaika wa ngazi ya juu hivyo ana mbinu nyingi za kumteka mwanadamu..shika sana ulicho nacho asije mwovu akakupokonya.
Jana nilienda kwenye ofisi moja kwa lengo la kupata leseni ya udereva; nimeshapitia process nyingine zote kama inavyotakiwa, lakini nilipofika pale nilipokelewa na mtu aliyeonekana kuwa mhudumu kwa lengo la kunisaidia, mimi sikujali nikamweleza shida yangu, akachukua document zangu na kuanza...
Ni ukweli usiopingika hii ipo BT all in all kila mtu (mwanamke,mwanaume)afikie uwezo was kujitambua na kushika nafasi yake huku akiwa na hofu ya mungu ndani take hiyo itakutoa ktk fikra potofu na woga wa aina yoyote pale unapotaka kuanzisha mahusiano au tayari uko kwny mahusiano.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.