Muda Hip Hop: Michano pamoja na vina

Muda Hip Hop: Michano pamoja na vina

kwanza kula tano, karibu kwenye michano //una usongo hakuna mfano, ka mvua za elinino

Hapa hakuna promo, ka show za hip hop //ngoja utumike bro, ka bundle za ku surf

Hip hop ni darasa, you better know raimundo //Kama quiz inahitaji desa, kilaza umejaza uvundo

Tofauti inaongea, ka masaburi na kubenea //the world is not fair, jiulize why Dr slaa kapotea

Never Cross ma way, napiga tu huwa siongei//je unapenda starehe za sugar ray, shituka siku hizi malaya wamepanda bei

Asante kwa kunikaribisha

Usongo sina zangu kusababisha

Wenyeji vichwa kuinanisha

Kukubali kipaji bila kubisha

Kwa mistari na vina mimi natisha

Moto wangu nikisha uwasha

Watoto wa mama nawakalisha

Pasipo kuhatarisha maisha

Nawalambisha magalasha

Huku game nakamilisha
 
I went AWOL fellas thought I was dead, sio mmasai ila niko full gage,nabreak down kaa equation za organic, don't panic, am hectic, y'll niggers epileptic,
This is kamikaze, njooni nuwalaze, sio ukimwi huu ni ujumbe so tuusambaze, one love kwa wanamichano wote, benki ina mistari zaidi ya akaunti ya dangote
 
Asante kwa kunikaribisha

Usongo sina zangu kusababisha

Wenyeji vichwa kuinanisha

Kukubali kipaji bila kubisha

Kwa mistari na vina mimi natisha

Moto wangu nikisha uwasha

Watoto wa mama nawakalisha

Pasipo kuhatarisha maisha

Nawalambisha magalasha

Huku game nakamilisha

Who is the best, between me and you//kiuandishi nipo race, ka mapigo ya kung - fu

Mistari imenijaa, ka stock ya benk kuu//Raimundo acha shangaa, viuno vya masister du

Call me kisonoko, mwenye roho ya kikaburu, ukinipa sibakishi ukoko, ka mkimbizi wa darfur
 
yeah... aah.. ooh hatari sasa!
mistari inawakuna fakes mc kaguswa nyuma ... mtoto katulia kama anakuny..a haah
 
Who is the best, between me and you//kiuandishi nipo race, ka mapigo ya kung - fu

Mistari imenijaa, ka stock ya benk kuu//Raimundo acha shangaa, viuno vya masister du

Call me kisonoko, mwenye roho ya kikaburu, ukinipa sibakishi ukoko, ka mkimbizi wa darfur

Game michano kwangu kazini

Nachana bila mshindani

Stock benki kuu kitu gani

Ilojaa shilingi zisizo na thamani

Mashairi natunzia kichwani

Ubora wake pesa ya kigeni
 
kwanza kula tano, karibu kwenye michano //una usongo hakuna mfano, ka mvua za elinino

Hapa hakuna promo, ka show za hip hop //ngoja utumike bro, ka bundle za ku surf

Hip hop ni darasa, you better know raimundo //Kama quiz inahitaji desa, kilaza umejaza uvundo

Tofauti inaongea, ka masaburi na kubenea //the world is not fair, jiulize why Dr slaa kapotea

Never Cross ma way, napiga tu huwa siongei//je unapenda starehe za sugar ray, shituka siku hizi malaya wamepanda bei

sio malaya tu,siku hizi hata sadaka zimepanda bei/
ukitaka maombi,pastor anakutumia mpesa umtumie pei/

kaboom napenda starehe ila sio za sugar ray/

kama pool nacheza looser to pay/

looser pay to play,acha kudelay/

kama mfuko hausomi,lets play mi ntapay/
 
Heheheh daddy angu umeanza lini hizi mambo?
 
sio malaya tu,siku hizi hata sadaka zimepanda bei/
ukitaka maombi,pastor anakutumia mpesa umtumie pei/

kaboom napenda starehe ila sio za sugar ray/

kama pool nacheza looser to pay/

looser pay to play,acha kudelay/

kama mfuko hausomi,lets play mi ntapay/

hapa hakuna kudelay, mwendo ni cash to cash // hatuogopi mfumuko wa bei, ka raia wa Bangladesh

Mc nisio ishiwa pay, ka benk za kiarabu // usipay just play, utapay ukishika adabu
 
mi ni bank teller,nashika pesa sio adabu/
na niko next level zaidi ya adam wa visual lab/

watu wanacopy life langu,kupaste inawasumbua/
they call me google,nina majibu ya wasiyoyajua/

bonge la msanii,show nafanya chumbani/
ukisema haunisikii,waulize madada mtaani/
 
U got some skills dude,i feel u
 
mi ni bank teller,nashika pesa sio adabu/
na niko next level zaidi ya adam wa visual lab/

watu wanacopy life langu,kupaste inawasumbua/
they call me google,nina majibu ya wasiyoyajua/

bonge la msanii,show nafanya chumbani/
ukisema haunisikii,waulize madada mtaani/

Hapa skills ni nyingi kama Bruce lee
Enter the dragon utoke na manundu kwa punch kali kama tai chi
Gwiji on booth,wananita jet lee
Nagawa punch kama tooth,pick kina kirefu upotee kama mansu lee
Hapa styles nyingi kama changudoa
Mliozoea vya kunyonga Hvi vya kuchinja vitawatoa madoa
Narap mpaka noma,Wanasema mi no nyoko
Hapa Vina mpaka uchina,mtapata homa nyie ma mc wa baikoko!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom