Recent content by kakamera

  1. kakamera

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wadau kosa gani nafanya kwenye mkeka was perfect 12 mbet?
  2. kakamera

    JamiiForums Tanzania Asante Kwasi

    Amekwenda Simba?Yanga mnashidaa
  3. kakamera

    JamiiForums Tanzania Mwalimu mzuri yupi?

    Nauliza kwa sababu nimeshuhudia watu wanamsifu mwalimu anayemwaga NOTISI UBAONI hasomi mahali popote
  4. kakamera

    JamiiForums Tanzania Supu ya Pweza

    Nauliza aliyewahi kunywa inaradha gani?
  5. kakamera

    JamiiForums Tanzania Kwanini KINGEREZA LUGHA NGUMU KWA WASOMI TANZANIA?

    Naomba Jibu wadau,Ukichunguza lugha hii kwa wasomi wengi ni ngumu katika swala la mawasiliano hasa inapokuja wakati anatakiwa kueleza jambo?na ingawa Wamefanya vizuri katika mitihqni kupitia lugha hii
  6. kakamera

    JamiiForums Tanzania Mwalimu mzuri yupi?

    Nauliza wadau Mwalimu mzuri anayependwa na wanafunzi darasani ni yupi kati hawa wawili 1:ANAYETOA NOTISI KICHWANI NA KUANDIKA UBAONI? 2:ANAYETOA NOTISI DAFTARINI NA KUANDIKA UBAONI?
  7. kakamera

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kubet kaziii tutaliwa hela mpaka mwisho....ukishinda acha usibet tenaaa
  8. kakamera

    JamiiForums Tanzania KICHWA CHA MWENDAWAZIMU

    Zimb 3~Tza 0
  9. kakamera

    JamiiForums Tanzania Babu kuwa na binti ni sawa, ila bibi kuwa na kijana tatizo, kwanini?

    Babu anaweza oa binti, kwanini ngumu kwa bibi kuwa na kijana? Kuna siri nyuma ya pazia ni ipi hiyo tujuzane.
  10. kakamera

    JamiiForums Tanzania KITAMBI NI UGONJWA...WEMBAMBA je?

    Mtu anasema Ukiwa na Kitambi Ugonjwa...je wembamba?naomba jibu
  11. kakamera

    JamiiForums Tanzania SIFA BAADA YA KIFO

    Nimeipendaa
  12. kakamera

    JamiiForums Tanzania Watanzania wengi wezi na wanapenda kuibiwa

    Kazi inayofanywa na serikali ya Awamu ya Tano ni Nzuri na ya Kusifiwa...Lakini wengi wamekuwa wanaponda...Ndio maana nasema WATANZANIA WENGI WANALALAMIKA KWA KUWA WALIZOEA KUIBA NA KUIBIWA....Tubadilike
  13. kakamera

    JamiiForums Tanzania SIFA BAADA YA KIFO

    Alikuwa Mwizi..Mjeuri..Mbishi...na nyingine nyingi lakini mtu huyu akifa huzungumzwa vizuri...nini sababu?
  14. kakamera

    JamiiForums Tanzania Ni kweli kuwa Diamond anamuogopa King Kiba???

    Mtoa mada hesabu tuzo alizopata Diamond kisha mlinganishe na Kiba....KIFUPI HAMUOGOPI ila wewe unadhani anamuogopaa...tigo na vod wanafanya kazi ya aina moja asingeweza kupafom chini ya wamilik wawili fiesta....KAMA ULISOMA MKATABA sawa wa Voda na DIAMOND
  15. kakamera

    JamiiForums Tanzania Upigaji wa kura Marekani ni uonevu

    Hilary Clinton Kura ya mmoja mmoja ALISHINDA why TRUMP?
Back
Top Bottom