Recent content by kakakwetu

  1. kakakwetu

    JamiiForums Tanzania Mipaka ya maarifa ya binadamu: safari ya uelewa wa ulimwengu na yale yasiyoguswa

    Binadamu ameendelea kufanya ugunduzi mkubwa kuhusu ulimwengu anaouishi. Kupitia sayansi, teknolojia, falsafa na dini, tumeweza kuelewa kwa sehemu baadhi ya siri za asili, maisha, na mazingira yanayotuzunguka. Hata hivyo, pamoja na maendeleo hayo, bado kuna maswali ambayo yanabaki bila majibu ya...
  2. kakakwetu

    JamiiForums Tanzania Kuna ombwe juu ya chanzo chetu na ulimwengu!

    MIPAKA YA MAARIFA YA BINADAMU: KATI YA KINACHOGUNDULIKA NA KISICHOGUNDULIKA Binadamu ameendelea kufanya ugunduzi mkubwa kuhusu ulimwengu anaouishi. Kupitia sayansi, teknolojia, falsafa na dini, tumeweza kuelewa kwa sehemu baadhi ya siri za asili, maisha, na mazingira yanayotuzunguka. Hata...
  3. kakakwetu

    JamiiForums Tanzania Nigeria, Ripoti: Mtoto mmoja kati ya watoto wanne siyo wa baba anayedhaniwa

    Tupambane kutafuta hela.Haya mambo mengine tuachane nayo kwani hatuwezi kupambana nayo bali yataongeza chuki na kusababisha matukio mabaya ambayo tutakujajutia .(You can never beat nature.)
  4. kakakwetu

    JamiiForums Tanzania Nigeria, Ripoti: Mtoto mmoja kati ya watoto wanne siyo wa baba anayedhaniwa

    Eti ndio unavyojifariji hivyo.🤣
  5. kakakwetu

    JamiiForums Tanzania Nigeria, Ripoti: Mtoto mmoja kati ya watoto wanne siyo wa baba anayedhaniwa

    Haya bwana ambae unaakili endelea na akili zako.Pengine hata wewe mzee wako alibambikwa(wewe sio mtoto wake pengine) je angekuacha? Na je huyo mzee wako ni zoba? 🤣🤣
  6. kakakwetu

    JamiiForums Tanzania Nigeria, Ripoti: Mtoto mmoja kati ya watoto wanne siyo wa baba anayedhaniwa

    Kikubwa mimi ndio naitwa baba na anaitwa kwa jina langu,mengine watajua wenyewe.Mambo mengine mnajitakia presha zisizo na msingi🤣🤣
  7. kakakwetu

    JamiiForums Tanzania Kingereza kitafelisha wengi kwenye Oral Interview. Mwalimu kama hujui kingereza ni bora usijisumbue

    Kwa hiyo mtoa mada unataka kusema walimu,kiingereza wameanza kukutuna nacho kwanye Interview tu?,Na pia unataka kutuaminisha walimu hivyo vyeti vyao walipewa tu? .Acha kutisha watu,Unaweza itwa kwenye usaili na Lugha Ikawa kiswahili na bado ukafeli tu😅.Walimu msikatishwe tamaa mkapambane mpaka...
  8. kakakwetu

    JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi kuhusu eneo la kufanyia usahili wa mahojiano kada ya afya

    Wewe jamaa muongo sana
  9. kakakwetu

    JamiiForums Tanzania Serikali yatangaza ajira za ualimu kwa mwaka 2024 zaidi ya nafasi 11,000

    🤣🤣🤣🤣
  10. kakakwetu

    JamiiForums Tanzania FT: JKT Tanzania 0-0 Yanga | NBC Premier League | Isamuhyo Stadium | 24.04.2024

    Pitch changamoto
  11. kakakwetu

    JamiiForums Tanzania Changamoto za mfumo wa maombi ya ajira za Elimu na Afya 2022

    Upo sahihi kabisa mkuu,tatizo kuna watu wao ni kupinga tu hata kwa kitu ambacho hawana uhakika nacho.
  12. kakakwetu

    JamiiForums Tanzania Ferouz: Inaniwia vigumu kuacha madawa ya kulevya

    Ha ha ha haa!
Back
Top Bottom