Recent content by kakakuonana

  1. kakakuonana

    JamiiForums Tanzania Dhana ya "kumbemenda mtoto"

    Ohooo asante sana kaka
  2. kakakuonana

    JamiiForums Tanzania Mtoto anashtuka mara kwa mara

    Halititi ni nini naomba msaada
  3. kakakuonana

    JamiiForums Tanzania Makengeza ni kilema au ugonjwa?

    Barikiwa sana kwa msaada wako. Nimepata amani
  4. kakakuonana

    JamiiForums Tanzania Makengeza ni kilema au ugonjwa?

    Asante sana. Ila sasa haya yana miezi miwili lakini hayaonekani mda wote kuna muda unayaona kabisa akiweka macho jinsi flani. Muda mwingine yupo kawaida
  5. kakakuonana

    JamiiForums Tanzania Makengeza ni kilema au ugonjwa?

    Unarekebisha vipi? Msaada tafadhali
  6. kakakuonana

    JamiiForums Tanzania Unawezaje kutambua jinsia ya mtoto bila ultra sound?

    Naomba kujua ulipata jinsia gani?
  7. kakakuonana

    JamiiForums Tanzania Unawezaje kutambua jinsia ya mtoto bila ultra sound?

    Naomba kujua ulipata jinsia gani?
  8. kakakuonana

    JamiiForums Tanzania Jf members wa Dar vs Wamikoani

    Hahaaaaaa dah
  9. kakakuonana

    JamiiForums Tanzania WAFANYAKAZI WALIOPATA BARUA ZA UHAMISHO

    Walimu, nimeuliza in general sababu yalitoka ya kada tofauti tofauti.
  10. kakakuonana

    JamiiForums Tanzania WAFANYAKAZI WALIOPATA BARUA ZA UHAMISHO

    Habari zenu wana jamvi, naomba kujua kama kuna walimu au wafanyakazi waliopata barua zao za uhamisho kwa majina yaliyotoka july 4.
  11. kakakuonana

    JamiiForums Tanzania Kwanini shule ya sekondari Kisimiri inafaulu vizuri kidato cha sita...

    Msingi mbovu wa wanafunzi wa olevel
  12. kakakuonana

    JamiiForums Tanzania Sheria za michezo ya Netball na Volleyball.

    Duh nimekuta hamna majibu hapa
  13. kakakuonana

    JamiiForums Tanzania Walimu tunanyanyaswa sana

    Mwalimu wa wapi analipwa hivyo? Acha dharau
  14. kakakuonana

    JamiiForums Tanzania Sikuwahi Muona mtu akiingia JF, JF kuna nani??

    Ndani ya blanket
Back
Top Bottom