Makengeza ni kilema au ugonjwa?

Watu wa zamani na hata wanaoishi vijijini wanakosa huduma hii
Mbona kuna kiongozi mmoja yeye kazaliwa mambo safi toka mdogo ilishindikana vipi kurekebisha,tena kazaliwa mitaa yenye mahospitali yenye wataalamu wa kubobea,au utaalamu huo ulikuwa bado...?
 
Asante sana. Ila sasa haya yana miezi miwili lakini hayaonekani mda wote kuna muda unayaona kabisa akiweka macho jinsi flani. Muda mwingine yupo kawaida
Kuna nerves flan zima kuwa zimelegea ukiwahi daktari anazirekebisha mchezo kwisha
 
Makengeza (squint eyes) huweza kurekebishwa mtoto akiwa mchanga
What are the causes?nilienda Tanga last month sasa ndugu yangu akawa amembeba mtoto wangu mchanga akiwa anatizama juu,watu wengi kabla ya hapo walikuwa wakituona wanasema tusimtizamishe juu lakini hawatoi sababu,yule mzee kule Tanga akauliza huyu mtoto ni wakike au wa kiume?nikajua yule mzee ni mchawi,akajibiwa ni wakike,akasema msimtizamishe juu mtatengenezea makengeza.Je inauhusiano?
 
Ni imani tu kaka, makengeza hutokea kwasababu kuna mishipa nerves) zinakuwa loose.
 
Sio ugonjwa ni maumbile tu
FB_IMG_1522856672987.jpeg
 
Back
Top Bottom