Recent content by KAKA SWAY

  1. K

    JamiiForums Tanzania Hii ndio "Status" ya Jeshi la Polisi kwa sasa

  2. K

    JamiiForums Tanzania Mbowe atolewa nje ya bunge

    hahahaha,, hivi hiyo (Dr) unayomwekea Kikwete kabla ya jina lake unamaanisha DEAR au DOCTOR... ukiwa mshabiki wa chama fulan hapa tanzania hadi v2 vya uongo wew utachekelea tu... kama hapa unaona Ndugai kafanya jambo zuri tu na unashabikia kabisa... familia itakayoongozwa na wew ina kazi ngumu...
  3. K

    JamiiForums Tanzania William Lukuvi amvua nguo Tundu Lissu

    TIZAMA MANENO YALIYOTIWA RANGI KOLEZO KISHA KAJIFUNZE KUYAANDIKA VYEMA... nimetambua upeo wa ufikiri wako kwa kusoma maelezo yako.... HUSTAHILI LAWAMA NI KOSA LA WANAOKUDANGANYA NA HAWAJUI WEWE SIO MWEREVU...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Tutawafuata m23 kokote watakakokimbilia-JW.

    HAPANA,, rwanda hatuendi mana kule kuna GENOCIDE
  5. K

    JamiiForums Tanzania Gari la kubebea wagonjwa lakamatwa likitumika katika wizi ndani ya Mgodi wa Geita

    kwahiyo polis walifika wakakuta watuhumiwa wamewekwa chini ya ulinzi na askari wa MGODI,, SWALI ; UNADHANI WANGEKUA ASKARI WETU HAPA NCHI YETU HAO WATUHUMIWA WANGEKUTWA NA KIDHIBIT CHAO:::AMINA
  6. K

    JamiiForums Tanzania Tanzania's Mining Industry to Hit U.S. $1.3 Billion By 2015...

    YOTE HAYA JAMAN YANAPATIKANA TANZANIA... alafu waliolipiwa ada za vyuo vikuu NA BODI si mnadaiwa??? MLIPE BASI TUKUZE UCHUMI!!! ( mwambie wazir wa nishati na madini angekua wa jinsia ya HAWA labda tungemchukulia poa lakin kwa style hii anamuaibisha ADAM) HAKI NAAPA
  7. K

    JamiiForums Tanzania Tanzania hosts 20,000 Rwandans in Kigoma, Kagera, Ngara etc alone

    samahan kaka.. siku ile nlikua nimekunywa ZANZI..
  8. K

    JamiiForums Tanzania WAZO MARIDADI:Tunamuomba Mh.Rais Kikwete aje JF tuna mengi ya kuongea nae.

    Napata shaka na utendaji wa kichwa na akili yako... KAMA WEWE NI MTANZANIA NADHAN ULISHAONA UWANJA WETU WA SOKA (MPYA) ule unaingia watu 65000 (sitini na tano elfu) TU!! sasa ule umati woote unaoonekana pale uwanjani unapaswa kuzidishwa mara 3 (tatu) kufikia idadi ya wanachama wa JF...
  9. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tambua aina ya wanaume wenye mvuto zaidi kwa wanawake!

    sio wote wanataka muda Mrefu kaka... watalam wanasema kunaambao wanafika mapema tena ile mnafanya romance tu na anakua hataki tena uendelee na hizo mambo sasa ndo utabak macho juu na NGUV ZAKO.....CHEZEA UMBILE WEW
  10. K

  11. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tambua aina ya wanaume wenye mvuto zaidi kwa wanawake!

  12. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tambua aina ya wanaume wenye mvuto zaidi kwa wanawake!

    HALOOOOW... nahisi mtoa mada anaongelea MVUTO,,,, co lazma uwe umeingia kwenye mahusiano na huyo mwanamke uliemvutia ila UNAVUTIA WANAWAKE.... amebase kweny MVUTO sio moja kwa moja ni kigezo cha kumpata mwanamke.... KWAN WE MWANAUME NI WANAWAKE WANGAPI UNAPISHANA NAO NJIAN WANAKUVUTIA LAKIN...
  13. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tambua aina ya wanaume wenye mvuto zaidi kwa wanawake!

    NDO MANA ULINTOLEA MBAVUNII??... dah ndo nimejua leo.... POLE YANGU
  14. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tambua aina ya wanaume wenye mvuto zaidi kwa wanawake!

    HAHAHA ACHA HIZO WEW SMILE.... mbona i nimekuja sana ila umenitolea mbavuni???? huna hata HURUMA :A S kiss:
  15. K

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu Mtela Mwampamba

    NDUGU UWE MACHO SANA..hiki chama si cha kuaminika namna hiyo ... UKANUNUE NGUO ZA WANAO KWA MWANACHAMA WA CHAMA KISICHOMJALI MWANAO????? b carefull kunasumu za kuua mtu baada ya muda mrefu... HAWA SI BINADAM WENYE TIMAMU
Back
Top Bottom