Ku deal na tatizo la M23 kwa unfanisi hakuwezekani bila kupeleka moto Kigali. M23 ni Proxy ya Kigali, to be more specific ni personal playing card ya Paul Kagame, wakikimbilia Rwanda watajificha kwa muda na baadaye watarudi Goma, cha muhimu ni kudeal na PK mwenyewe. Wakikimbilia Rwanda kutakuwa na sababu nzuri sana ya kuwasaka wakubwa wao.
According the report of the UN group of experts, M23 is a proxy army of the Rwandese regime. Utawala wa Kigali pamoja na M23 wanakanusha vikali madai hayo. Pia utawala wa Kigali unakanusha vikali kwamba unawapa support ya kijeshi M23. Ikumbukwe kwamba katika mahojiano maalum yaliyofanywa kati ya Jenerali Makenga na Katy Lindquist (a researcher and coordinator of the Central Africa Conflict Education), Jenerali Makenga alisema kwamba wao (M23) ni Congolese-tutsi na pia alikiri M23 kupata military training na msaada wa kijeshi kutoka serikali ya Rwanda. Msaada huo wa kijeshi unatokana na wao (Congolese-tutsi)- Jenerali Makenga, Jenerali Jean Bosco Ntaganda, Jenerali Laurent Nkunda (Nkundabatware) na wengineo kuwaunga mkono RPF katika harakati za kuikomboa Rwanda iliyokuwa chini ya marehemu Habyalimana. Baada ya kushiriki kuikomboa Rwanda, Kagame regime walilipa fadhila kwa kuwa-support M23 kuivamia Zaire (D.R Congo) ambao wanadai kupigania (struggle for identity, citizenship, political rights and rights to own land). Wanasema, though they had lived in the Congo for a good 300 years, they were now considered "aliens" from Rwanda.
Ni ukweli usiopingika kwamba Congolese-tutsi (Wanyamulenge) wamekuwa wakinyanyaswa wakidaiwa ni Wanyarwanda. Hali hiyo inatokana na sababu kwamba hakuna tofauti kati ya Congolese-tutsi (Wanyamulenge) na Rwandese-tutsi ambao wote ni tutsi-bahima na pia Congolese-tutsi kwa muda mrefu wamekuwa wakikubali kutumika ili kufanikisha malengo ya tutsi-bahima ya kuitawala Zaire (D.R Congo) to pave way to the formation of Tutsi-hima empire in the Great Lakes region. Pia zaidi ya asilimia 90 (>90%) ya vikosi vya M23 ni Rwandan Defence Force (RDF) – ndiyo maana Rwanda ililaani sana Tanzania ilipokubali kupeleka majeshi yake Eastern Congo). Pia kumbuka Rwanda ilivyohamaki baada ya M23 kupata kipigo kikali kutoka kwa majeshi ya UN mwishoni mwa mwezi wa 8 na mwanzoni mwa mwezi 9 na kuwalazimu Rwanda kukusanya majeshi yake kwenye mpaka wake na Congo kwa madai kwamba eti imeshambuliwa kwa mabomu. Kipigo kile kiliwaumiza Rwanda, why???? Mnakumbuka vikosi vya waasi wakiwa chini ya Jenerali Ntaganda walipoingizwa katika jeshi la Congo walikataa kufanya kazi maeneo tofauti na Eastern Congo??? Pata picha hapo!!
Ingawa madai ya Congolese-tutsi (Wanyamulenge) ni ya msingi lakini pia ni chambo kinachotumiwa na Tutsi junta military leaders (Kagame, Mu7 na Buyoya) ili kuikamata Congo hasa hasa eneo la mashariki (Kivu Province) ambalo ni tajiri sana. Wakishaikamata Congo watatumia rasilimali zake kujifanya military giants na kutawala other states wanazotaka kwa nguvu (kumbuka lugha wanayojua ni vita ndiyo maana wanachukia sana wanaposhauriwa kutafuta suluhu kwa niia ya mazungumzo).
Vita ya Congo inaweza kuvuka mpaka hadi Rwanda ikiwa M23 watapata kichapo kikali hadi kupoteza wanajeshi wengi ambao kimsingi ni Rwandese kwa hiyo majeshi ya Rwanda (RDF) yaliyoko standby mpakani hayawezi kuvumilia yataingilia kati na kusababisha vita kati ya Rwanda kwa upande mmoja na Congo na majeshi ya Umoja wa Mataifa kwa upande mwingine.
Ili amani ya Congo iweze kupatikana ni lazima mipaka yake iheshimiwe. Wenye kuota ndoto za mchana za kutengeneza empire states waachane nazo maana dunia imeshawashtukia. Congolese-tutsi haki zao za msingi zitambuliwe na kuhemishimiwa. Ni vema pia Congolese-tutsi wawe relocated, waondolewe eneo la Congo mashariki wapelekwe sehemu nyingine tofauti ndani ya Congo ili kunyima nafasi majeshi ya Kagame kuvuka mpaka na kuingia Congo kuwasaidia kijeshi. Pia jeshi la Congo liimarishwe: wapewe mafunzo, vifaa na mishahara bora inayolipwa kwa wakati. Wafundishwe uzalendo wa kuipenda na kuipigania nchi yao. Serikali ya Congo simamieni haki na toeni huduma za kijamii (maji, afya, elimu, barabara, nk.) kwa usawa kwa raia wote bila ubaguzi, pambananeni na rushwa za aina zote (kubwa na ndogo). Jengeni umoja na maendeleo ya nchi yenu. Mungu awabariki, amani awapatie!!!