Recent content by Kaka Mkubwa

  1. Kaka Mkubwa

    JamiiForums Tanzania Hivi huyu ni mnyama wa aina gani?

    Kaka kuona ...kaka kuona! Jamani kaka kuona ni mnyama wa aina gani, na ana sifa gani? Haya tunayoyasikia kuhusu kaka kuona ni kweli.
  2. Kaka Mkubwa

    JamiiForums Tanzania Chanjo ya UKIMWI

    Uroda kwa kwend ambele
  3. Kaka Mkubwa

    JamiiForums Tanzania Idadi ya wanawake ni wengi kuliko wanaume?

    Nita-Balance kulingana ratio itakayokuwepo kwenye jibu ndugu.
  4. Kaka Mkubwa

    JamiiForums Tanzania Idadi ya wanawake ni wengi kuliko wanaume?

    Enheeeee haya ndiyo niliyokuwa nayataka. Bravo mkulu.
  5. Kaka Mkubwa

    JamiiForums Tanzania Idadi ya wanawake ni wengi kuliko wanaume?

    Kwani unadhani Mwanamke mmoja ana wanaume wangapi? Isiwe kwavile wao wanajificha kwakuwa kwao kuwa na wanaume wengi ni aibu zaidi? Mimi nafahamu kuwa wanawake nao wanawanaume wengi tu, hasa hawa mabinti wakisasa yani hawajatulia kabisaaaaaa!!!!!!!!!
  6. Kaka Mkubwa

    JamiiForums Tanzania Msiba: Charles Masanja hatunaye

    Daaaaaaaaah! Eti alikuwa akijaribu kuingia nyumbani kwa kuruka ukata na ukuta ukamrudia na kumkandamiza kwenye gari na ukawa ndiyo mwisho wa maisha yake! R.I.P Massanja.
  7. Kaka Mkubwa

    JamiiForums Tanzania Idadi ya wanawake ni wengi kuliko wanaume?

    Wakulu ni muda mrefu nimekuwa nikisikia kuwa takwimU zinasema kuwa idadi ya wanawake ni wengi kuliko ile ya wanaume wanaoshi dunia kwa muda wote! Mbaya zaidi nikasikia kuwa kwa siku za hivi karibuni hali hiyo imebadilika na kuwa wanaume ndiyo wengi zaidi! Leo hii naomba nipate maoni yenu juu...
  8. Kaka Mkubwa

    JamiiForums Tanzania London ni mji Mzuri sana sijaona

    Duh! KUdadadekiiiiiiiiiiiiiiiii.
  9. Kaka Mkubwa

    JamiiForums Tanzania TBL na Serengeti Bia

    Vipi kuna data yoyote?
  10. Kaka Mkubwa

    JamiiForums Tanzania TBL na Serengeti Bia

    AAAAAha, kumbe ndiyo maana hata pale Blue View karibu na Airport hakuna CVhuiChui!!!!!!!!!!! Kwakweli hii haifai na wenye mabaa wawe makini wanaweza ua biashara zao kabsaaaaaaaa.
  11. Kaka Mkubwa

    JamiiForums Tanzania Happy Birthday Hon Jakaya Kikwete!

    asante, nashukuru kwa ushauri wako mwananchi wa kawaida.
  12. Kaka Mkubwa

    JamiiForums Tanzania Happy Birthday Hon Jakaya Kikwete!

    I SEE WALA WA chadema NONA HAKUNA HATA MMOJA ALIYENIPA HONGERA
  13. Kaka Mkubwa

    JamiiForums Tanzania Happy Birthday Hon Jakaya Kikwete!

    Nawashukuru nyoote kwa salamu zenu za siku yangu ya kuzaliwa....tehe tehe thee.e.... Tihi tihi tihiiiiiiii!!!!
  14. Kaka Mkubwa

    JamiiForums Tanzania This information needs to be shared!

    A 26-year old guy decided to have a cup of coffee. He took a cup of water and put it in the microwave to heat it up (something that he had done numerous times before). I am not sure how long he set the timer for, but he told me he wanted to bring the water to a boil. When the timer shut the...
Back
Top Bottom