Happy Birthday Hon Jakaya Kikwete!

Hongera sana baba yangu, Rais Wangu and Mpendwa wangu, Ndugu yangu Jakaya Kikwete..

Umetimiza miaka hiyo ukiwa Madarakani tena kwenye taifa ambalo linakabiliwa na matatizo lukuki mithili ya mtu mwenye njaa, Lakini katika Kipindi hiki ndio Muhimu kufikiria hata kama kuna watu wengine wanaweza kutimiza miaka hiyo kwa vijana wengi wa kileo au wale wa DOT. COM maana ndio Taifa la Kesho..

Asante Mkuu wangu na Mungu Akubariki sana katika Yote Rais Wangu
 
Mpendwa Rais Jakaya Mrisho Kikwete,
Hongera sana kwa kutimiza miaka 59
Mwenyezi Mungu akuongezee miaka mingi (zaidi ya 120) ya kuishi hapa Duniani,
Akuwezeshe uiongoze vyema Tanzania hadi mwaka 2015
Akuwezeshe ukiongoze vyema Chama Chetu kitukufu cha Mapinduzi

Ubarikiwe, Ubarikiwe, Ubarikiwe.

DU amen
 
Happy Birth Day JK, fuata ushauri wa madaktari na ongeza bidii ya sala na hapo utaishi mara mbili ya miaka uliyonayo sasa, ingawa uzee sana nao una taabu zake.
Ubarikiwe
 
Happy Birthday JK...naona Clouds wameandaa something for you.........
 
Hongera, ujaaliwe afya njema na uwezo wa kuongoza nchi vizuri katika kipindi ulichobakiza
 
Happy birthday His Excellency Lieutanant Colonel(rtd) CCM Chairman Amiri Jeshi Mkuu Doctor JMK.

Hahahahaha!
Kidog angemfikia Iddi Amin.
Happy Birthday JK.
Unanihuzunisha sana na sikutakii mabaya mkuu ila dah kidogo ungekuwa mkali na mtu mwenye msimamo hii nchi ingekukumbuka katika historia!!!!!!!!!
 
Mpendwa Rais Jakaya Mrisho Kikwete,
Hongera sana kwa kutimiza miaka 59
Mwenyezi Mungu akuongezee miaka mingi (zaidi ya 120) ya kuishi hapa Duniani,
Akuwezeshe uiongoze vyema Tanzania hadi mwaka 2015
Akuwezeshe ukiongoze vyema Chama Chetu kitukufu cha Mapinduzi

Ubarikiwe, Ubarikiwe, Ubarikiwe.



Mchuingsji naona wajiandaa rasmi kuingia katika uiongozi CCM . Safari sana ila naseme Dkt JK kila la heri mkuu wa Majeshi ila Nchi iomeyumba sana.Kula keki ukilijua hili
 
jk_birthday_01_dn.gif

Hongera Mr.Jk kwa kutimiza miaka 59.
Tunakuombea maisha marefu na yenye afya njema usichoke mara kwa mara.
 
he' kumbe bado kuna watu wanasherehekea siku yao ya kuzaliwa, mtu kama rais haina maana ukizingatia mamia kule Muheza tanga wanakufa na njaa..bola kusheherekea siku ya kufa kuliko ya kuzaliwa.
 
Hii thread ipo HUMU NDANI na ni ya leoleo.
Is this a copy-cat work?
Someni threads bana...Mods tendeni linalostahili.
 
Nawashukuru nyoote kwa salamu zenu za siku yangu ya kuzaliwa....tehe tehe thee.e.... Tihi tihi tihiiiiiiii!!!!
 
Labda nabii issa akirudi ndio utajua ugonjwa wake vinginevyo ng"ooooo.na hta ukijua itakusaidia nini ndg yanu???we mwombe uzima tuu kama ulivyofanya.
 
god bless you the big boss! the man of mass! the price man! the chekaman! oh! big mista! teh bossman! tuko pamoja babaa!
 
Back
Top Bottom