Recent content by Kaka Kapagi

  1. K

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo kilwa nije kibaha idara sekondari 0685306666
  2. K

    JamiiForums Tanzania Sakata la ESCROW ni pigo kwa Lowassa

    nimesoma zote lkn hii imeshtua akili yangu. Ni kweli kabisa hatujaelezwa hadi sasa mmiliki wa richmond na aliyekuwa akipokea pesaa. nchi ina mambo... na watz tumekuwa bendera tunapepea kukiwa na upepo
  3. K

    JamiiForums Tanzania Sakata la ESCROW ni pigo kwa Lowassa

    nimesoma zote lkn hii imeshtua akili yangu. Ni kweli kabisa hatujaelezwa hadi sasa mmiliki wa richmond na aliyekuwa akipokea pesaa. nchi ina mambo... na watz tumekuwa bendera tunapepea kukiwa na upepo
  4. K

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Mimi ni Mwalimu wa SEKONDARI halmashauri ya Kilwa nataka kuhamia Wilaya ya Kibaha. Kwa aliye tayari tubadilishane atume ujumbe kwenda 0685 306666.
  5. K

    JamiiForums Tanzania Mwizi mjinga zaidi Duniani akamatwa huko Marekani

    Utumwa wa Facebook huo
  6. K

    JamiiForums Tanzania RE: F. Mbowe mbona umetelekeza jimbo ?

    Tanzani ina virus vibaya si VVU vya UKIMWI bali VKU- Virusi vya kuondoa uzalendo vikimkumbuka kiongozi ni hatari. Vyama vitalaumiwa bure tatizo ni watu waliokosa uzalendo na kujaa siasa uchwara Twende tutafika tu
  7. K

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Mwalimu aliye Mbeya anayetaka kuhamia Kilwa.Idara Sekondari, Tuwasiliane kwa 0685306666 au email kakakapagi@gmail.com
  8. K

    JamiiForums Tanzania Amiri Jeshi Mkuu Dkt. Jakaya Kikwete-Akikagua zana za kijeshi

    Tanzania ndio nchi pekee afrika iliyopigana na nchi nyingine ikashinda... Iliipiga uganda mpaka Entebbe,
  9. K

    JamiiForums Tanzania Abiria ajichinja ndani ya bus likitokea Lindi (TAHADHARI picha zinatisha)

    watu wengi wana matatizo ya kisaikolojia, mapenzi au mahusiano, uchumi n.k badala ya kuwa karibu nao na kuwasaidia kisaikolojia huwa wanapuuzwa. Hii ndio athari yake Inaniuma kwa kuwa nimekutana vija wangi wanamna hiyo wakiwa wamekata tamaa lakini nimekaa karibu nao na wanne wanendelea na maisha...
  10. K

    JamiiForums Tanzania TBC yatoa tamko: Hatujui na kurusha matangazo live online (streaming)

    Shaaban Robert aliifumba nchi yake kwa kutunga riwaya "KUFIKIRIKA" kweli nchi yetu ya kufikirika. Riwaya yenyewe ngum hakuna kiongozi anayeilewa.
  11. K

    JamiiForums Tanzania Ajuaye atoe msaada wa jaribio hili la jkt/tcu

    1.Umeona majina ya awamu ya tatu JKT? 2. TCU wanasemaje maana vyuo vinafungua na JKT ni tar 28 sept. 3. Je kambi ni muda gani? 4. Sasa itakuwaje vijana watii sheria ya nchi kwenda JKT au kwenda vyuoni? 5. kwanini vyombo husika TCU na JKT havitoi ufafanuzi au ndo ujsehi umeshaanza? Tafadhali...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Prof Chinua Achebe is dead

    Hakika amefanikiwa kuingiza fikra zake vichwani mwa watu wengi, fikra zake imara zitadumu. Huyu alikuwa mwafrika halisi na hodari aliyedhihirisha kuwa Afrika si bara la giza bali lina watu makini kabisa.
  13. K

    JamiiForums Tanzania Gesi nyingine yagunduliwa Mbeya

    Gesi nyingine yangunduliwa Mbeya eneo la Isebe, Tukuyu. Ni liquid Carbon dioxide sawa na ile ya Kyejo, Mwakaleli, uzinduzi wake kufanyika karibuni. Ama kweli ule usemi kuwa kila mahali unapokanyaga Tanzania ni madini tu. Swali ni kuwa je sasa ni lazima kila madini yanapogunduliwa yachimbwe haraka?
  14. K

    JamiiForums Tanzania Tanzania Daima imekaa Kiudakudaku tu

    Hayo ndo magazeti ya udaku wa kisiasa.... unapoyasoma lazima uwe na mlengo fulani wa kisiasa. Kuna Tanzania Daima, Uhuru, Mzalendo. Silipigii chapuo lkn ndo ukweli kwamba Mwananchi lipo vizuri kwa habari zote na makala Kemkem:A S angel:
Back
Top Bottom