Sakata la ESCROW ni pigo kwa Lowassa

Sakata la ESCROW ni pigo kwa Lowassa

Hapatakalika kwa maslahi ya nani? Kwa maslahi ya Watanzania au kwa maslahi ya Kikwete!? Huku ndio kulindana ambako Watanzania tumechoshwa nako. Kama hajui kitu aseme sijui kitu. Kama analo analolijua basi aweke hadharani kila kitu kwa faida ya Watanzania wote badala ya kukaa kimya katika juhudi za kulindana huku ncchi ikizidi kwenda mrama hata wafadhili kuanza kugomea kutoa misaada yao baada ya kuona sheria za nchi zinapindishwa ili kulindana katika wizi mkubwa wa zaidi ya bilioni 300 na madudu mengine chungu nzima miaka ya nyuma.

Huyo Pasco ameamua kujitoa fahamu na kuandika as if kinachoongelewa hapa ni hisa za kampuni!!!
Anaongelea personal gains za mgombea wake na tricke down effect ya hilo baasi!!

Hawa ndio watu wanaopigia debe watu fulani you can see the motive easily!!!
 
Last edited by a moderator:
Kuna researchers and fact finders, kuna political analysts, kuna social activists, kuna environmental activists, kuna military strategists, kuna complainers, na kuna POLITICAL STRATEGISTS. Wewe ni nani hapa. Kile ninachojua mimi ni kwamba Lowassa ni Polical Strategist. Tungoje 2015, time will tell.

Ha ha aaaaa keep classifying!!
The motive is ill still. . . . . .
 
nimesoma zote lkn hii imeshtua akili yangu. Ni kweli kabisa hatujaelezwa hadi sasa mmiliki wa richmond na aliyekuwa akipokea pesaa.

nchi ina mambo... na watz tumekuwa bendera tunapepea kukiwa na upepo
 
Mkuu Amakisya, kuna aina mbili za ukimya, kuna watu wako kimya kwa sababu hawajui kitu, no research, no right to speak, wamejinyamazia!. Na kuna wakimya ambao they know too much, wakisema hapatakali!, kuliko pasikalike, wameamua bora wajinyamaziea, kuliko kusema!, huyo ndiye EL!.

Ukiona watu wanalipigia kelele sana jambo fulani, ujue hao ndio wale wasiolifahamu kwa undani!, wale wanaofahamu kila kitu, kamwe huta wasikia!.

Mfano ni kuhusu Richmond, EL baada ya kujiuzulu uliwahi kumsikia akicomment chochote kuhusu Richmond?!. Jee unajua kuna vitu kuhusu Richmond, Kamati ya Mwakyembe haikuvisema, unavijua ni vipi?!.

Ilisemwa Richmond ni kampuni hewa, ile ile mitambo, sio mitambo hewa, wamiliki sio wamiliki hewa na pesa wanazolipwa sio pesa hewa!, jee unawajua wamiliki wa Richmond?!. Jee unajua kuwa ni Richmond ile ile, ilibadili tuu jina kuwa Dowans, Ikabadili tena jina Simbioni, the rate ya capacity charges ni zile zile na rate ya kuuza umeme ni ilele na wamiliki ni wale wale and take it fro me!, ile tozo ya Dowans, iliishalipwa kimya kimya, unajua imelipwa kwa nani?!. Msiwaone watu wamejinyamazia mkadhania ni wajinga!, haya ndio mambo ambayo Watanzania wataelezwa wazi kinaga ubaga kama CCM itathubutu kumkata huyu jamaa!.

Escrow nayo ni kelele nyingi!, wengi wanadhani mmiliki wa PAP ni yule Singa Singa!, no way!, watu wanamjua mmiliki halisi wa PAP, Singa Singa ni front man tuu, kama alivyo James Rugemalila kwenye VIP, wenyewe halisi wako behind!. Majina yote mlioyaona waliotajwa kupokea pesa, ni majina ya kwenye benki ya Mkombozi tuu na fedha hizo ni 'peanut' tuu, watu wenyewe wapo, wamepokea mihela!, watu wanawajua ndio maana unawaona wako kimya!.

2015 kitu kitu kitawekwa wazi, ni ama CCM wakubali matokeo mgombea wao ni EL au wammwage kama kumwaga mboga, then atamwaga ugali na bora wote wakose!.

Silence is always golden!. Sometimes kunyamaza kimya ni bora kuliko kupayuka payuka!, EL ameamua kujinyamazia, akisubiria the most opportune moment!.

Merry X-Mass.

Pasco.

Anayeweza kuushinda ufisadi Tanzania ni yule mtemi wa mafisadi ambaye ameamua kuwageuka mafisadi wanzake na kuwapiga vita. Hii ndio dua ya watanzania, amini usiamini. Na watanzania wengi wanamuomba tu Mungu kwamba Lowassa ndiye huyo mtemi wa Mafisadi ambaye ameasi ufisadi. Ninyi wote mnaopiga makelele humu ni kazi bure tu. Hata mkipewa uraisi sasa hivi hakuna kitu mtaweza kufanya. Mafisadi wamekamata kila pembe ya Bongoland, wewe na usafi na uaminifu wako utaanzia wapi. Watakumalizia mbali. Kwa hiyo jumuika na wengi wanaooba dua Lowasa awe raisi, At least there is a 50/50 chance. Kama kweli ameshauasi ufisadi basi nchi itaneemeka. Otherwise the country is dead.

The gauge mr foreseer, the gauge please!!!!
 
Mkuu Amakisya, kuna aina mbili za ukimya, kuna watu wako kimya kwa sababu hawajui kitu, no research, no right to speak, wamejinyamazia!. Na kuna wakimya ambao they know too much, wakisema hapatakali!, kuliko pasikalike, wameamua bora wajinyamaziea, kuliko kusema!, huyo ndiye EL!.

Ukiona watu wanalipigia kelele sana jambo fulani, ujue hao ndio wale wasiolifahamu kwa undani!, wale wanaofahamu kila kitu, kamwe huta wasikia!.

Mfano ni kuhusu Richmond, EL baada ya kujiuzulu uliwahi kumsikia akicomment chochote kuhusu Richmond?!. Jee unajua kuna vitu kuhusu Richmond, Kamati ya Mwakyembe haikuvisema, unavijua ni vipi?!.

Ilisemwa Richmond ni kampuni hewa, ile ile mitambo, sio mitambo hewa, wamiliki sio wamiliki hewa na pesa wanazolipwa sio pesa hewa!, jee unawajua wamiliki wa Richmond?!. Jee unajua kuwa ni Richmond ile ile, ilibadili tuu jina kuwa Dowans, Ikabadili tena jina Simbioni, the rate ya capacity charges ni zile zile na rate ya kuuza umeme ni ilele na wamiliki ni wale wale and take it fro me!, ile tozo ya Dowans, iliishalipwa kimya kimya, unajua imelipwa kwa nani?!. Msiwaone watu wamejinyamazia mkadhania ni wajinga!, haya ndio mambo ambayo Watanzania wataelezwa wazi kinaga ubaga kama CCM itathubutu kumkata huyu jamaa!.

Escrow nayo ni kelele nyingi!, wengi wanadhani mmiliki wa PAP ni yule Singa Singa!, no way!, watu wanamjua mmiliki halisi wa PAP, Singa Singa ni front man tuu, kama alivyo James Rugemalila kwenye VIP, wenyewe halisi wako behind!. Majina yote mlioyaona waliotajwa kupokea pesa, ni majina ya kwenye benki ya Mkombozi tuu na fedha hizo ni 'peanut' tuu, watu wenyewe wapo, wamepokea mihela!, watu wanawajua ndio maana unawaona wako kimya!.

2015 kitu kitu kitawekwa wazi, ni ama CCM wakubali matokeo mgombea wao ni EL au wammwage kama kumwaga mboga, then atamwaga ugali na bora wote wakose!.

Silence is always golden!. Sometimes kunyamaza kimya ni bora kuliko kupayuka payuka!, EL ameamua kujinyamazia, akisubiria the most opportune moment!.

Merry X-Mass.

Pasco.

Kwa hyo akiupata Urais kmya kitaendelea?
Hizo ndio siasa hewa mtu mwadilifu hawezi kukaa kimya uniambie anafaa kuwa Rais ilihali nchi inatafunwa.
 
Nimefuatilia sana mjadala wa kashfa ya Escrow toka ianze, sijasikia Edward Lowassa ametoa maoni gani kuhusiana suala hili. Kulikoni?

Akiongea atakuwa akaharibu kila kitu bora akae kimya kama hayupo vile
 
Nakuheshimu sana ila ngoja niseme kitu, kwa hiyo kujua huko anakutumia kama turufu ya yeye kuwa kiongozi baas akipitishwa anaweka rehani maisha ya watanzania kwa kukaa kimya??????

Wakimtosa anamwaga mboga sababu yeye kakosa na sio sababu ni muhimu watu kujua???!!

So unadhani akimwaga mboga watanzania watakosa maamuzi ya busara na kufuata mkumbo wake kama unavyofuata wewe na wenzako??!!

Akili gani hii kwa mtu mzima kama wewe???!!!!
Anayeficha mwizi ni mwizi tu hamna lugha mbadala hapo!!
Kama unahakikisha hapa kuwa anawajua na hawataji kwa sababu binafsi za madaraka basi hana nia njema sababu anamtunza muharibifu! !!!
Kuna wapiganaji wa aina tatu, wenye pupa, wenye mkakati wa ushindi, na waoga!.

Wenye pupa ni wale wenye papara, wakisikia kitu tuu wao mbio kukilipua, yaani kazi yao ni ku srike tuu, haijalishi atalenga the target au la, kwake ni amelipua, ndio maana uchaguzi wa 2010, watu walitoa data za kukamatwa makontena wajinga wakaidaka wakairusha!.Hawa wenye pupa, hawadiriki kula tamu!.

Kuna wapiganaji makini, hawa wanapigana vita kimikakati, they never srike unless they have seen the target na wanajua watashinda, hawa watatukanwa, watabezwa, watadhihakiwa, lakini wanajua wanataka nini na watapataje, watanyamaza tuu hadi muda muafaka ndipo wata strike, vital information ndizo silaha zao za maangamizi. Hawa ndio simba wenda kimya, ndio wala nyama!.

Na kuna waoga, hawa wako kama kunguru, hawa sio wapiganaji wa vitendo bali wapiganaji wa maneno, talalila nyingi!, kazi yao ni kusimama pembeni kutazama vita na kushagilia tuu kwa makelele huku wakimrisha, piga hapa!, piga kule!, kwa maneno tuu sio vitendo, tena kamwe hawathubutu hata kuusogelea uwanja wa mapambano, uwanja wa vita!. Hawa kazi yao ni maneno tuu marefu, vitendo vifupi, Hawa nimewaita wapiganaji watazamaji.

Kanisome hapa Tuko Vitani Tuna Wapiganaji Shupavu, Wapiganaji Makini na Watazamaji!. ili ujue jinsi ya kuendesha vita vya ushindi, haviendeshwi kwa pupa, papara wala makelele bali kwa mipango mkakati ya ushindi!, that is EL!, ni mtu wa maneno mafupi na vitendo virefu, "an action oriented man!".

Merry X-Mass

Pasco
 
nimesoma zote lkn hii imeshtua akili yangu. Ni kweli kabisa hatujaelezwa hadi sasa mmiliki wa richmond na aliyekuwa akipokea pesaa.

nchi ina mambo... na watz tumekuwa bendera tunapepea kukiwa na upepo

Tatizo sio watanzania kama kweli akili yako imestuka ungehoji kwa nini ukweli hauwekwi wazi wakati kuna watu wanaujua, kwa faida ya nani na lini??!!

Kama unalaumu watanzania basi bado hujastuka unless wewe sio mtanzania!!!
 
Akitemwa CCM anakwenda upinzani
Wapambe ndio wanaopiga kelele zote hizo njaa imewafanya kuwa vipofu.Subiri atakavyokuja kudumazwa ,huku hela yake imeenda bure na kushindwa kuirudisha hapo ndio usemi ule wa ''majuto mjukuu''utakapo kumbukwa.
 
Kuna wapiganaji wa aina tatu, wenye pupa, wenye mkakati wa ushindi, na waoga!.

Wenye pupa ni wale wenye papara, wakisikia kitu tuu wao mbio kukilipua, yaani kazi yao ni ku srike tuu, haijalishi atalenga the target au la, kwake ni amelipua, ndio maana uchaguzi wa 2010, watu walitoa data za kukamatwa makontena wajinga wakaidaka wakairusha!.Hawa wenye pupa, hawadiriki kula tamu!.

Kuna wapiganaji makini, hawa wanapigana vita kimikakati, they never srike unless they have seen the target na wanajua watashinda, hawa watatukanwa, watabezwa, watadhihakiwa, lakini wanajua wanataka nini na watapataje, watanyamaza tuu hadi muda muafaka ndipo wata strike, vital information ndizo silaha zao za maangamizi. Hawa ndio simba wenda kimya, ndio wala nyama!.

Na kuna waoga, hawa wako kama kunguru, hawa sio wapiganaji, kazi yao ni kusimama pembeni na kulia lia kwa makele, piga, piga laki hawathubutu hata kuusogelea uwanja wa vita!. Hawa nimewaita wapiganaji watazamaji.

Kanisome hapa Tuko Vitani Tuna Wapiganaji Shupavu, Wapiganaji Makini naujue jinsi ya kuendesha vita vya ushindi, haviendeshwi kwa pupa, papara wala makele bali kwa mikakati ya ushindi!, that is EL!.

Merry E-Mass

Pasco

Mkuu hili sio suala la timming coz it is obvious kambi yenu mnahofia ndani kuliko nje sasa wakati wewe una strategize wenzio hawajalala na mlishapigwa ambush mkawa derailed sasa historia iwafunze!!!!

Hiyo ckassification ni fictitious tu na inawafaa wafuasi wa vyama na kambi kuliko non aligned kama mimi ooonh umakini sijui nini ni dalili tu kiwa umakini sio sehemu ya maisha yenu sababu myu makini hasemi niko makini matendo yake yanakuwa wazi juu ya hilo!!!

Vita hii common enemy anajulikana na nyie ni wanufaikaji wa kivuli chake sasa hamuwezi kukata shina come rain come shine lazima mkae around na ndio kimya chenu kiko hapo!!!

Mengine vitisho na kujifariji tu
 
Nimekuwa nikiona page nyingi FB zinazomuhusu lowasa, mara Lowasa raisi wa Tz 2015 ,Lowasa anatosha 2015,Mchague Lowasa kwa maendeleo ya nchi n .k ,nanikiwa nafatilia likes za hizo pages yaan msema kweli zna watu wengi.So mh.Lowasa ngoja tumpe nchi.
 
Sababu zina watu wengi hizo pages au sababu wewe umempima na unaona anafaa??!!
 
Pasco umenena Mkuu na huo ndio ukweli! Ile speech ya Mh. juzi kwa wenye 'upako' inajieleza wazi kuwa wakati wa kuwajua wahusika wakuu umekaribia!
 
Pasco unamaanisha kuwa EL ataendelea kukaa na yale ayajuayo moyoni pale CCM itakapomchagua kuwa mgombea? Kwa maana nyingine ataendelea kuwalinda wenzake kwa kuwa wamempa ulaji wa Urais hivyo malipo yake kwao ni kuwasamehe mabaya na ufisadi walioutenda na ambao kwa sasa anaujua lkn anaficha? Kama ni hivyo EL ni business as usual na hatufai. Dhamira ya dhati ya kulikomboa Taifa hili haipo kwake na ataendeleza Siasa zilezile zilizotufikisa hapa tulipo.
 
Last edited by a moderator:
Pasco umenena Mkuu na huo ndio ukweli! Ile speech ya Mh. juzi kwa wenye 'upako' inajieleza wazi kuwa wakati wa kuwajua wahusika wakuu umekaribia!

Na huo upako unapatikana kwa gharama gani mpaka udhani mko wachache wenye huo upako???!!
 
Pasco unamaanisha kuwa EL ataendelea kukaa na yale ayajuayo moyoni pale CCM itakapomchagua kuwa mgombea? Kwa maana nyingine ataendelea kuwalinda wenzake kwa kuwa wamempa ulaji wa Urais hivyo malipo yake kwao ni kuwasamehe mabaya na ufisadi walioutenda na ambao kwa sasa anaujua lkn anaficha? Kama ni hivyo EL ni business as usual na hatufai. Dhamira ya dhati ya kulikomboa Taifa hili haipo kwake na ataendeleza Siasa zilezile zilizotufikisa hapa tulipo.

Hiyo ndio picha wanayoichora na kuipaka rangi juu ya huyu mzee!!!
Kama kwa ridhaa yake au kwa ushabiki wao!!!
 
Last edited by a moderator:
Pasco unamaanisha kuwa EL ataendelea kukaa na yale ayajuayo moyoni pale CCM itakapomchagua kuwa mgombea? Kwa maana nyingine ataendelea kuwalinda wenzake kwa kuwa wamempa ulaji wa Urais hivyo malipo yake kwao ni kuwasamehe mabaya na ufisadi walioutenda na ambao kwa sasa anaujua lkn anaficha? Kama ni hivyo EL ni business as usual na hatufai. Dhamira ya dhati ya kulikomboa Taifa hili haipo kwake na ataendeleza Siasa zilezile zilizotufikisa hapa tulipo.

Kula like kama ile figure ya Escrow.
Akipewa ridhaa ya kugombea urais na akapata huo Urais hatoongelea lolote kuhusu ufisadi wao ila akinyimwa(wakimwaga mboga) na yeye atamwaga ugali.
Huu ni utapeli tu kama biashara.
Lowassa ni fisadi mkuu ndiyo maana hawezi kuongelea ufisadi hata siku moja.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom