Tanzania Daima imekaa Kiudakudaku tu

Tanzania Daima imekaa Kiudakudaku tu

Uhuru ,Tanzania Daima, na Mzalendo yote jamii moja, udaku tu. Gazeti la kusoma ni Mwananchi.
Unajua maana ya udaku?, hata hivyo, ulitakiwa ufafanue hiyo habari kwanini ni ya udaku, matokeo yake umeishia tu kuanza kuorodhesha magazeti mengine, nadhani wewe ni zao la kilichoelezwa na hiyo habari, maana hauna uwezo wa kufafanua kitu chochote?
 
Takwimu za kushuka kwa kiwango cha ufaulu zilizanikwa jana na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake, Dar es Salaam.
Alitumia pia fursa hiyo kuwatambulisha wajumbe wa tume ya kuchunguza chanzo cha kufeli kwa wanafunzi waliohitimu kidato cha nne mwaka jana, na kupendekeza hatua za kuchukua.
Kwa mujibu wa Pinda, kuanzia mwaka 2005, takwimu zinaonesha kuwa kiwango cha ufaulu kilikuwa juu kwa asilimia 89.3 na mwaka 2006 kilishuka hadi asilimia 89.1.
Mwaka 2007 kiwango cha ufaulu kilipanda kidogo na kufikia 90.6%, lakini kuanzia mwaka 2008 hadi sasa kimekuwa kikishuka kwa kiasi kikubwa.
Mwaka 2008 kiwango cha ufaulu kilishuka hadi 83.6% kutoka asilimia 90.6; na mwaka 2009 kilishuka hadi 72.5%.
Mwaka 2010 kiwango cha ufaulu kiliporomoka hadi 51.4%; na mwaka 2011 kulikuwa na nafuu kidogo, kwani kilipanda hadi asilimia 53.6.
Mwaka jana 2012 kiwango cha ufaulu kilishuka kwa kasi ya kutisha hadi asilimia 34.5, na kuibua malalamiko kila kona nchini na kusababisha serikali iunde tume.
Katika hali ya kushangaza, wakati kiwango cha ufaulu kikishuka kila mwaka kuanzia mwaka 2005, serikali haijawahi kushituka na kuchukua hatua za kunusuru hali hiyo hadi mwaka huu kulipokuwa na mbinyo kutoka sehemu mbalimbali nchini kulalamikia matokeo hayo.
"Kutokana na matokeo hayo mabaya ya kidato cha nne kuanzia mwaka 2005 hadi mwaka 2012, serikali imeamua kuunda tume kuchunguza tatizo hili kwa madhumuni ya kupata ufumbuzi wa kudumu," ilisema sehemu ya taarifa ya Waziri Mkuu Pinda.

Maswali:

  1. Kwanza sikuandika mawazo yangu, nimenukuu hotuba ya Waziri Mkuu, msemaji wa serikali.
  2. Waziri Mkuu ametoa hizo takwimu kwa hiari, hakuombwa, hakulazimishwa na waandishi
  3. Kama amesema yeye na ikatolewa kwa maandishi tungeandika kipi kile cha kufikirika au kilichosemwa na kuandikwa
  4. suala la Matokeo halina chama, waliofeli wapo CHADEMA, CCM, CUF,TLP na wengine hawana vyama ila wamefeli.
 
CCM na Mwenyekiti wake ni Wazee wa mipasho, kawaambie gazeti la Uhuru 'li-WASUTE' hao Tanzania Daima. Mkiambiwa ukweli hamtaki hujalazimishwa kusoma ukweli kaa na ujinga wako wa Uhuru na Mzalendo

sasa hapa ndo umeandika ujinga wako wote kabisa, haya wahi kachukue posho yako jua linazama
 
Hakuna siri kwamba Chadema hawawezi kuanzisha gazeti kwani tayari wana gazeti la Tanzania Daima ambalo ni more or less gazeti la chadema, so kwangu mimi Tanzania Daima, Uhuru na mzalendo ni magazeti ambayo habari zake huwezi kuzimeza nzima nzima, mpaka ziwe corroborated.,na huo ndo udaku wenyewe,kwamba habari zao wanatia chumvi sana mpaka huwezi kuwaamini at first instances,na weledi katika hilo unakuwa zero ingawa editorial policy zao za kuandika habari za chama wanazifuata asilimia 100.
 
Takwimu za kushuka kwa kiwango cha ufaulu zilizanikwa jana na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake, Dar es Salaam.
Alitumia pia fursa hiyo kuwatambulisha wajumbe wa tume ya kuchunguza chanzo cha kufeli kwa wanafunzi waliohitimu kidato cha nne mwaka jana, na kupendekeza hatua za kuchukua.
Kwa mujibu wa Pinda, kuanzia mwaka 2005, takwimu zinaonesha kuwa kiwango cha ufaulu kilikuwa juu kwa asilimia 89.3 na mwaka 2006 kilishuka hadi asilimia 89.1.
Mwaka 2007 kiwango cha ufaulu kilipanda kidogo na kufikia 90.6%, lakini kuanzia mwaka 2008 hadi sasa kimekuwa kikishuka kwa kiasi kikubwa.
Mwaka 2008 kiwango cha ufaulu kilishuka hadi 83.6% kutoka asilimia 90.6; na mwaka 2009 kilishuka hadi 72.5%.
Mwaka 2010 kiwango cha ufaulu kiliporomoka hadi 51.4%; na mwaka 2011 kulikuwa na nafuu kidogo, kwani kilipanda hadi asilimia 53.6.
Mwaka jana 2012 kiwango cha ufaulu kilishuka kwa kasi ya kutisha hadi asilimia 34.5, na kuibua malalamiko kila kona nchini na kusababisha serikali iunde tume.
Katika hali ya kushangaza, wakati kiwango cha ufaulu kikishuka kila mwaka kuanzia mwaka 2005, serikali haijawahi kushituka na kuchukua hatua za kunusuru hali hiyo hadi mwaka huu kulipokuwa na mbinyo kutoka sehemu mbalimbali nchini kulalamikia matokeo hayo.
“Kutokana na matokeo hayo mabaya ya kidato cha nne kuanzia mwaka 2005 hadi mwaka 2012, serikali imeamua kuunda tume kuchunguza tatizo hili kwa madhumuni ya kupata ufumbuzi wa kudumu,” ilisema sehemu ya taarifa ya Waziri Mkuu Pinda.

Maswali:

  1. Kwanza sikuandika mawazo yangu, nimenukuu hotuba ya Waziri Mkuu, msemaji wa serikali.
  2. Waziri Mkuu ametoa hizo takwimu kwa hiari, hakuombwa, hakulazimishwa na waandishi
  3. Kama amesema yeye na ikatolewa kwa maandishi tungeandika kipi kile cha kufikirika au kilichosemwa na kuandikwa
  4. suala la Matokeo halina chama, waliofeli wapo CHADEMA, CCM, CUF,TLP na wengine hawana vyama ila wamefeli.

haya umeandika umepata za kunywea chang'aa leo, nenda kapombeke kama kawaida yako ila uache kutumika
 
Isango tunamjua vizuri in and out, ni mchumia tumbo tu, mwandishi kanjanja, singida anajulikana kwa jina la chapombe. Akilewa anajisahau hadi anajifanyia haja ndogo hapo hapo.
 
kama mmiliki wa gazeti ni mtu wa udaku udaku hata gazeti lake litakuwa la udaku.kama mmiliki wake ana elimu ndogo hata waandishi atakao waajiri watakuwa makanjanja tu.
 
wewe umeliona gazeti hilo tu mbona magazeti hizo ndizo habari zao wanazouza mkuu au wwe ni mgeni ma magazeti?
 
Hayo ndo magazeti ya udaku wa kisiasa.... unapoyasoma lazima uwe na mlengo fulani wa kisiasa. Kuna Tanzania Daima, Uhuru, Mzalendo. Silipigii chapuo lkn ndo ukweli kwamba Mwananchi lipo vizuri kwa habari zote na makala Kemkem:A S angel:
 
KULIKO MZIGO HUU USIYOBEBEKA.

GAZETI LA Uhuru au GAZETI LA KIHUNI....HILI NI GAZETI MAARUFU KWA PROPAGANDA ZA UCHOCHEZI HALINA WAANDISHI WENYE MUDA NA MATATIZO YANAYOIKUMBA JAMII LEO,KESHO NA BAADAYE.

WAANDISHI WA UHURU NI CHUMIA TUMBO TUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUU
 
Udaku uko wapi hapo?! Nini cha uongo hapo?! Ulitaka wakwambie kapandisha elimu? Ukitaka kusifiwa kwa mazuri kubali kuambiwa yaliyo mabaya pia.

Ficha upumbavu wako usifiche hekima yako...

mleta mada ni kundi la kina khadija kopa, mipasho tu, hana hoja, kama kilicho andikwa kina mapungufu yataje na si kuleta mipasho
 
Back
Top Bottom