Sitori yako haina uhalisia kabisa hata kidogo.. Kwanza unasafia chama kinafiki eti miradi wakat huohuo unasema huna kaz
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi kule mbeya pia inaweza kurudi? Maana naskia jamaa wanafanya kazi/kuishi kwenye majengo yale yaliyopata nyufa juzi kati
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu utakua mtabiri wewe... Kama siyo mtabiri basi una karama hiyo hata mi nmehisi ni chadema tu hawa wanahusika na simba sport club
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.