Wazo la kabwela
JF-Expert Member
- Feb 13, 2013
- 1,900
- 1,511
wanabodi habari....
mimi si mfuasi wa siasa za maji taka kama hivi.. hivi kwani sheria na kanuni za kuingiza umeme kwenye nyumba za watu inasemaje??
WAZIRI AWATAKA WAKANDARASI KUTOBAGUA MAKAZI WAKATI WA KUINGIZA UMEME
Pichani ni Waziri wa Nishati Dkt. Medard Kalemani akiwasha umeme kwenye nyumba ya Bi. Rose kagoma iliyopo Kijiji cha Rugunga Wilayani Kibondo Mkoani Kigoma.
Kijiji cha Rugunga kimeunganishiwa umeme kupitia mradi wa umeme Vijijini Awamu ya Tatu sehemu ya kwanza ambapo Waziri Kalemani amawataka Wakandarasi kutobagua makazi wakati wa kuingiza umeme.
"Wakandarasi wa umeme msibague makazi ya wananchi wakati wa uunganishaji umeme vijijini. Kila mwananchi ana haki ya kupata umeme" alisema Waziri wa Nishati, Dkt Medard Kalemani akiwa ziarani mkoani Kigoma.
Sent using Jamii Forums mobile app