Kiwanda gani kidogo naweza Anzisha kwa Mtaji wa Tsh 20M kwa Dar

Basham

JF-Expert Member
Oct 10, 2014
743
429
Habari Wakuu,

Poleni na majukumu yenu ya kila sku,

Niende moja moja kwenye mada. Nahitaji mawazo ya kiwanda gani kidogo kwa Dar naweza anzisha kwa Mtaji wa 20M

Natumai nitapata mawazo nkuntu yatakayonifanya niweze kusongesha mbele Maisha

Natanguliza Shukrani.
 
spesho kaanza kushona na less than 5m, mtaji wa kwanza wazo na ujuzi.. kiwanda cha maji ya kunywa nacho unaweza kaza kwa ro ndogo.. nakushauri wekeza online.. strong website, strong youtube channel, strong instagram account.. upige hela za matangazo
 
Kopesha Watu warudishe kwa RIBA kwa kuanza inatosha..watu waweke dhamana vitu vyao visivyohamishika Hata kama anakopa laki 1 Mwambie alete HATI ya nyumba au kiwanja...
 
anahitaji kuanzisha kiwanda na si kuanzisha kufungua financial business
 
Duu laki kwa Hati ya nyumba mzee hii si ni zulumati aisee
 
spesho kaanza kushona na less than 5m, mtaji wa kwanza wazo na ujuzi.. kiwanda cha maji ya kunywa nacho unaweza kaza kwa ro ndogo.. nakushauri wekeza online.. strong website, strong youtube channel, strong instagram account.. upige hela za matangazo
Asantee mkuu
 
Duu laki kwa Hati ya nyumba mzee hii si ni zulumati aisee
Yeah kama annashida Atoe HATI maana kumbuka kukopesha hasa hizi hela ndogo ndogo mkuu sikia tu kwa mtu hyo biashara ni biashara Moja ambayo usipokua na masharti magumu ya KUKOPESHA WATU basi jiandae kukesha mahakamani kila SIKU maana wakija kukopa wanakuja kama malaika ila SUBIRIA sasa muda wa marejesho ufike UONE.
 
anahitaji kuanzisha kiwanda na si kuanzisha kufungua financial business
Kwani maana yya kiwanda ni nini? Hebu tuanziie HAPO ukinijibu ndo ntajua ulichonijibu hazikua POMBE iila ulikua unaelewa unachonijibu..Tuanzie hapo...
 
Kama hujui maana ya kiwanda basi sina haja ya kujibishana na wewe .... go to your search engines and search for economic sectors..... otherwise you are an iliterate ....
 
Mkienda shule msome sio kusindikiza wenzenu... Mmekaa kukariri tuuu
 
Kama hujui maana ya kiwanda basi sina haja ya kujibishana na wewe .... go to your search engines and search for economic sectors..... otherwise you are an iliterate ....

anahitaji kuanzisha kiwanda na si kuanzisha kufungua financial business

Hizo PUMBA mbili zinaonyesha aina ya akili uliyonayo, Aina ya shule uliyosoma, Aina ya walimu waliokufundisha...Unapojibu mtu angalia unae mjibu...sio kuku rupuka tu.
 
hoja hujibiwa Kwa hoja na siyo vioja .... damn do I need to care whom am I replying to ... am setting my quotes to a vested fact regardless of the id in place ? .... rest on reef .... ignorance is a very dangerous syndrome
 
hoja hujibiwa Kwa hoja na siyo vioja .... damn
Hujui hata maana ya KIWANDA sjui unatafuta nini kwenye Comment zangu...ukiona maandishi yangu usiyaguse Sinaga watu wanao quote vitu vyangu walio shallow kichwani.....
 
Habari Wakuu,

Poleni na majukumu yenu ya kila sku,

Niende moja moja kwenye mada. Nahitaji mawazo ya kiwanda gani kidogo kwa Dar naweza anzisha kwa Mtaji wa 20M

Natumai nitapata mawazo nkuntu yatakayonifanya niweze kusongesha mbele Maisha

Natanguliza Shukrani.
Anzisha haraka sana kiwanda cha condom mkuu,japo sipo Tz lakini jukwaani kila siku wanalalamika kuna uhaba mkubwa nchini

Sent by Diaspora
 
Watanznia hawana hati za nyumba. Wanamiliki ma subwoofer tuu

Siyakudumisa Nkosi Yezulu
hao wamiliki Ma subwoofer sio wakukopesha Akileta subwoofer mkopeshe Elfu 20...Yani mtu mkopeshe kulingana na Asset yake ... yani mtu akija kwako analia lia anasema Ana friji,tv USIKOPESHE hhao wasumbufu hawalipagi hao.
 
Back
Top Bottom