Kumetokea Tetemeko la ardhi Kilimanjaro

Kumetokea Tetemeko la ardhi Kilimanjaro

Ndugu zangu nchi bado inakabiliwa na Matetemeko.
Tuendelee kuomba Mungu

Wakati watu wapo makini kuangalia mpira wa Taifa stars na Uganda,mara baada ya kushinda Goli la pili kama sekunde Tano hivi nyumba nk zimetikisika Rombo karibu yote

Watu walitoka nje na kuanza kujadili

Tuendelee kuomba wenye ndugu zenu ulizeni nyumbani Rombo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mh kabla hatujamuomba Mungu hebu tujitathmini kama tuna mikakati ya kushughulika na wahanga
 
Halina madhara

Sent using boeing 737 max8
 
M 4.8 - 41km NNW of Wundanyi, Kenya
  • 2019-03-24 16:21:15 (UTC)
  • 3.070°S 38.188°E
  • 9.5 km depth
  • 38
    39

    star.png


Moderetor sio near ni kilimanjaro au rombo mmetuhamishia kenyaa maana hi kitu imetokea nikiwa tarakea nikiwa nakula mkoka wangu taratibuE

Sent using boeing 737 max8
 
Back
Top Bottom