Recent content by KAJAMBARIS

  1. K

    JamiiForums Tanzania Mchezo mchafu wa TANESCO

    N miaka minne tangu nilipe deni ambalo limesomwa katika meter iliyosimama kwa muda mrefu na kuweza kutokuwa na deni la umeme,nikaomba kufungiwa luku. Hivi karibuni baada ya kutumia luku kwa muda wa miaka minne bila ya deni,wananikata nusu ya pesa ninayonunulia luku wakisema wananidai na sikweli...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Kasoma PCB lakini kakataliwa diploma ya clinical officer

    Hiv transfer kupitia nacte inawezekana kuhama chuo na course
  3. K

    JamiiForums Tanzania NACTE yatoa majina ya waliopata nafasi ya kujiunga na vyuo ngazi ya cheti na stashahada 2016/2017

    Hv unaweza kufanya transfer ya chuo na course
  4. K

    JamiiForums Tanzania Transfer kupitia nacte course za afya

    Inawezekana kufanya transfer ya chuo na faculty kwa wale tuliochaguliwa na nacte course za afya mfano diploma in pharmaceutical science kwenda diploma ya clinical medicine
  5. K

    JamiiForums Tanzania Waliochaguliwa kujiunga na Stashahada ya Elimu 2015/2016-UDOM

    na vp tuition fee tunalipia au?
  6. K

    JamiiForums Tanzania Waliochaguliwa kujiunga na Stashahada ya Elimu 2015/2016-UDOM

    Hv waungwana n kwel aturipii tuition fee kwa special diploma udom,mwenye uhakika anijuze please.maana nawapgia namba zao mara nying awapatkan.
  7. K

    JamiiForums Tanzania Tuliochaguliwa UDOM tukutane hapa

    wadau mko wap?
  8. K

    JamiiForums Tanzania Tuliochaguliwa UDOM tukutane hapa

    ambaye ameconfirm kutoka unversity adminstrator atuthbtshie hl swala,please
  9. K

    JamiiForums Tanzania Waliochaguliwa kujiunga na Stashahada ya Elimu 2015/2016-UDOM

    kwahyo tunaripa drect cost,NHIF na UDOSO au?.
  10. K

    JamiiForums Tanzania Waliochaguliwa kujiunga na Stashahada ya Elimu 2015/2016-UDOM

    waungwana hv n kwel kwamba tuition fee hatulipi au huzushi?
  11. K

    JamiiForums Tanzania Waliochaguliwa kujiunga na Stashahada ya Elimu 2015/2016-UDOM

    naweza pata namba yako mkuu maldoso ili tuelekezane mambo ya msing kabla ya kuadmitt
  12. K

    JamiiForums Tanzania Tuliochaguliwa UDOM tukutane hapa

    vp hostel wanakaa wanachuo wangap? kwa room moja
  13. K

    JamiiForums Tanzania Waliochaguliwa kujiunga na Stashahada ya Elimu 2015/2016-UDOM

    unaripa nusu kwasemister mkuu
  14. K

    JamiiForums Tanzania Waliochaguliwa kujiunga na Stashahada ya Elimu 2015/2016-UDOM

    kwanini husilipe? na soma cluster 1 imeandkwa except eductn with science programme,see cluster 4. tuelimishane kwa hoja nac kubishana tu
  15. K

    JamiiForums Tanzania Waliochaguliwa kujiunga na Stashahada ya Elimu 2015/2016-UDOM

    kjana soma cluster one utaona diploma in science educatn n cluxter 4 ndo hinakuhusu wa dploma ya edcatn na vp kuhusu university direct coxt inalipwa benk nayo?
Back
Top Bottom