hans lucas2
Member
- Jan 31, 2015
- 65
- 2
Je na vp kuhusiana na makazi inabid niende na hela yang ya ziada kam bei gan
Je na vp kuhusiana na makazi inabid niende na hela yang ya ziada kam bei gan
vijana punguzen mchecheto
So jumla ndo 900,000+232,100+50,400+5000=1,187,500
Poa mbaba nimekupata mm natarajia kusepa 28/10 na nifikie college of natural and mathematics science
Poapoa vp ww ushaanz kujaz form au
So jumla ndo 900,000+232,100+50,400+5000=1,187,500
kjana soma cluster one utaona diploma in science educatn n cluxter 4 ndo hinakuhusu wa dploma ya edcatn na vp kuhusu university direct coxt inalipwa benk nayo?
Sio kweli mnajidanganya tu ile cluster 4 haituhusu inayotuhusu ni ya others ambayo tumeambiwa hatulipi
Jaman Mbona Majanga Yaan Ulipe Mil1.2 Sasa Xi Bora Uende Ukasome Koz Za Afya