Waliochaguliwa kujiunga na Stashahada ya Elimu 2015/2016-UDOM

Waliochaguliwa kujiunga na Stashahada ya Elimu 2015/2016-UDOM

Hv waungwana n kwel aturipii tuition fee kwa special diploma udom,mwenye uhakika anijuze please.maana nawapgia namba zao mara nying awapatkan.
 
Jamani direct cost imepungua kweli au? Maana kuna mtu anasema imerudi pale pale eti ni kweli
 
kama haukuomba mkopo na heslb walisema watatoa utaratibu maalum wa kuomba mkopo kwa waliothibitisha lakini mpaka hamna kitu nimewaulza bodi ya mikopo juzi wakasema niwe na subira.inaonekana tunaenda kuombea chuoni huko huko alafu mbona tumewapigia udom wanasema tuition fee hatulipi

mkuu naomba 2wasiliane nina shida na wewe 0757014056/0713342493
 
Kwa updates na mengi ya kujifunza kuhusu udom njoo group la wasap# 0652501314
 
kuna special diploma yyt alie omba mkopo na amepata???
 
Jamaniii iv kama wamesema tuition fees atulipi sasa maana yake tutapewa chuon japo kuna wengine tulituma helsb maombi ya mkopo na atujapata au ndo second lot itatukutia tukiwa palepale chu0n???
 
Jamaniii iv kama wamesema tuition fees atulipi sasa maana yake tutapewa chuon japo kuna wengine tulituma helsb maombi ya mkopo na atujapata au ndo second lot itatukutia tukiwa palepale chu0n???

Hakuna aliesema usilipe kama kwenu zoo unaweza kulipa maana mkopo so lazima
 
Back
Top Bottom