MWANDENDEULE
JF-Expert Member
- May 24, 2015
- 5,215
- 10,586
Jaman naombeni mnisaidie eti hii direct cost,hela ya bima pamoja na union student tunalipia tukiwa huku huku nyumban(benk za huku huku) au mpaka benk za pale chuo
Unaweza lipia nyumbani ama katika bank zilizo chuoni lakini ni vyema ukalipia nyumbani ili ukifika chuoni uendelee na registration.
Kwa nyongeza kama kuna kitu kinakupa shida kujaza kwenye fomu yako kiache ukifika chuoni utaelekezwa nini cha kujaza na vyema ukaenda na fomu ambayo haijajazwa kabisa ili ukapewe vya kujaza na ujaze kwa usahihi isipokuwa ile fomu ya daktari.