Mchezo mchafu wa TANESCO

KAJAMBARIS

Member
Sep 8, 2015
22
1
N miaka minne tangu nilipe deni ambalo limesomwa katika meter iliyosimama kwa muda mrefu na kuweza kutokuwa na deni la umeme,nikaomba kufungiwa luku. Hivi karibuni baada ya kutumia luku kwa muda wa miaka minne bila ya deni,wananikata nusu ya pesa ninayonunulia luku wakisema wananidai na sikweli. Ushaur wako tafadhari nifanyeje?
 
Back
Top Bottom