Recent content by Kaiche

  1. Kaiche

    Mashindano makubwa ya drafti kufanyika Dodoma. Hii ndio listi

    Ronaldo hayupo , Nilitaka kushangaa
  2. Kaiche

    Historia ya Saida Karoli

    WASIFU WA SAIDA KAROLI Jina Kamili: Saida Karoli Tarehe ya Kuzaliwa: 4 Aprili 1976 Mahali alikozaliwa: Kijiji cha Rwongwe, Wilaya ya Bukoba Vijijini, Mkoa wa Kagera, Tanzania Lugha: Kihaya, Kiswahili, Kiingereza (kidogo) --- MAISHI YA AWALI NA ASILI YA KIPAJI Saida Karoli alizaliwa na...
  3. Kaiche

    Pendekezo la ushirikiano wa Biashara ununuzi wa ufuta

    1. Utangulizi Mimi naitwa Ibrahimu Juma, mkazi wa wilaya ya Masasi, mkoa wa Mtwara. Ninatafuta fursa ya kushirikiana na mfadhili katika biashara ya ununuzi wa ufuta — zao muhimu linalopatikana kwa wingi katika eneo ninakoishi. Lengo langu ni kuwa wakala wa ununuzi kwa niaba ya mfadhili...
  4. Kaiche

    Koffi Olomide na Mkewe Cindy Le Couer

    Huyo namba 8 anatajwa sana kwenye nyimbo nyingi , , hadi ile ya MAYDAY ya fally Ipupa katajwa sana , muelezee vizuri huyo
  5. Kaiche

    Wachambuzi wanaoleta Takwimu mbovu za Kocha mpya Yanga

    Watu mnaoleta takwimu za GERMAN MACHINE… mtakua hamfaham mpira! Mpira umebadilika siku hizi… Carlo anceloti akiwa Everton alipigika saana lakini haikuwazuia REAL MADRID kumchukua tena. Vincent Kompany beki kisiki wa Man City, Aliishusha Burnley Daraja lakini Bayern Munich walimsajili na Ndio...
  6. Kaiche

    Njoo tufanye biashara ya kununua korosho

    Wanajamvi, habari za muda huu na poleni na mihangaiko ya kutwa nzima. Korosho ni zao linalolimwa zaidi mikoa ya Lindi na Mtwara na sasa ni kipindi rasmi cha msimu wa korosho. Nahitaji Tajiri ambaye yupo tayari kununua korosho , kwa rejareja (kangomba ) kwa sababu nina uzoefu wa biashara hii na...
  7. Kaiche

    Wasimamizi Yanga Day Ovyo Kabisa

    Sasa , Kwanza suala la muda , mbona sisi Wanayanga hatulisemi ? Tumerizika kabisa, hizo kelele za nini ? Na ndiyo maana nyie muna siku yenu na sisi yetu , Kwa hiyo munataka tufanane , mnachokifanya na sisi tufanye ? KWA HIYO ALIYOFANYA MO JUZI NI SAHIHI ? KUTAMBULISHA UKOO WAKE ? Hili nalo...
  8. Kaiche

    Msaada; Shida ya mkojo unanitesa sana

    Pole sana kijana , Njoo inbox kuna tiba itakufaa sana
  9. Kaiche

    Upandishaji wa madaraja kwa watumishi wa Serikali bado ni kizungumkuti

    Mwishoni mwa mwezi tano, Serikali ilitoa kibali cha upandishaji madaraja kwa watumishi wa serikali. Zoezi la upandishaji likaanza rasmi mwezi wa sita ambapo baadhi ya watumishi waliona mabadiliko katika mshahara na mabadiliko katika mfumo wa ESS. Zoezi hili limegubikwa na sintofahamu kutokana...
  10. Kaiche

    Njoo tufanye biashara ya ufuta

    Ufuta huanza kulimwa mwezi wa 11, 12, 1 na 2 lakini kuvuna ni kuanzia mwez wa 5, inategemea ni aina gani ya mbegu umelima, kwa sababu kuna mbegu ya muda mfupi na muda mrefu, Lakini wataalam wanasema hata ukiharaka kupanda mwez wa 11 na huyu kapanda mwez wa 2, mara nyingi mtavuna pamoja.
  11. Kaiche

    Njoo tufanye biashara ya ufuta

    Habari Wafanyabiashara , Kwa sasa soko la zao la Ufuta ni kubwa sana, Msimu wa mwaka jana ufuta ulinunuliwa kwa bei ya Tsh 4000 kwa kilogram moja. Msimu huu kuna uwezekano mkubwa wa bei ya ufuta kupanda kutoka hiyo 4000 hadi 5000 hapa kati. Zao la ufuta hulimwa zaidi mikoa ya Lindi na Mtwara...
  12. Kaiche

    St. Francis Mbeya kuna siri gani?

    Hatari sana , ADA Yake ipoje , tuangalie na hapo kwanza
  13. Kaiche

    Phone4Sale Google Pixel 4a 5G

    200k hii chukua
Back
Top Bottom