Hahaha leo lazima nipite manyanya nikaangalie vijana wakipikwa college pale. Watu wa Arusha niliwah kuwaambia humu humu ukitaka tukujue kama wewe ni fundi njoo manyanya ndio kuna cheo cha draft Tanzania yakawa mabishi. Nakumbuka sisco alikuwaga bingwa wa temeke ila alivyokuja kinondoni manyanya alikuwa anagalagazwa vibaya mno kajifua saivi Ronaldo hataki hata kumsikia, kama noeli kachezea nani wakumzuia dogo na fainali wameingia wote wa manyanya college.Imeshatinga Fainali, Sisco kamlaza Noeli
Hii ya moto sana. Wangekutana Sisqo na Iwobi, maana wanatambiana sana.Nusu fainali.
Sisco vs Noel
Simba wa dom vs IWOBI
We njoo manyanya ucheze hata na kina mangwelele ndio tutajua sisco unamweza au vipiHuyo wa kuitwa Sisco ndo namtaka nimnyooshe
Cr7 ni wa moto. Kwa walioingia nusu fainali, Iwobi na Simba Dom huwa anawatembezea sana kichapo.CR7 wanajipigia kama nini hapo kama sio NOEL NI SISCO NA WAMOTO NI DOGO SHUKURU HAO KWENYE TOP 4 LAZIMA WAINGIE NA WOTE YAO NO MANYANYA COLLEGE..Watu wa Arusha wanaosemaga msomali wa moto haya kaingia kwenye mfumo wa wakina sisco tuone kama hata draw atapata....
Lukas hayupo sasa litakuwepoje?Hamna goli la mama hapo?!
Ronaldo na Sisco haziivi. Popote pale alipo Sisco ,Ronaldo hakanyagi.Ronaldo hayupo , Nilitaka kushangaa
Anafungwa sana na sisco hadi huwa hataki kucheza nae mkuu mimi anakaa kinondoni na pale huwa napita nikitoka job...Hapo bingwa anaweza kuwa siscoCr7 ni wa moto. Kwa walioingia nusu fainali, Iwobi na Simba Dom huwa anawatembezea sana kichapo.
Kashindikanika huyo.Huyo wa kuitwa Sisco ndo namtaka nimnyooshe
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hayo ndio majina yao ya kwenye nida?
Huwa hamtaki dogo kuna siku dogo alimkanyaga ronaldo goli za kutosha na mezani kulikuwa na laki 39Ronaldo na Sisco haziivi. Popote pale alipo Sisco ,Ronaldo hakanyagi.
mara kadhaa kakimbia mechi na siscoCr7 ni wa moto
Anafungwa kweli na Sisqo. Na yeye anajisifu kwenye ligi kubwa ya Chunya alimfunga. Na hao waliokuwa kwenye ligi Dom wa kumsumbua Ronaldo ni Noel na Sisqo tu.Anafungwa sana na sisco hadi huwa hataki kucheza nae mkuu mimi anakaa kinondoni na pale huwa napita nikitoka job...Hapo bingwa anaweza kuwa sisco
Anasema waweke 8mmara kadhaa kakimbia mechi na sisco
Nusu fainali ya mwaka juzi nusu wapigane, Ronaldo alipita ila kwa mbeleko akaenda kufungwa fainali na NoeliHuwa hamtaki dogo kuna siku dogo alimkanyaga ronaldo goli za kutosha na mezani kulikuwa na laki 3
Hapo itafanyika makubaliano ya kibiashara. Afungwe Sisco then iombwe rematch wapige tena hela.Anasema waweke 8m