Recent content by Kai kamunigino

  1. K

    JamiiForums Tanzania Pita hapa ujifunze maneno ya kiingereza tunayoyatamka kimakosa, usisahau nawe kuweka ya kwako

    Determine =wengi hutamka 'detamaini' badala ya 'ditamini '
  2. K

    JamiiForums Tanzania Kwa ndoto hii naomba tuombee nchi yetu Tanzania na pia tumuombee rais wake

    Madhara ya kuangalia action movie before bed
  3. K

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo tabora DC mkuu, nije bumbuli...
  4. K

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo tabora DC.. Me nije Singida, TANGA, pwani.. Idara sekondari
  5. K

    JamiiForums Tanzania Nahitaji line ya M-Pesa

    Hapana niko uyui, tabora vijijini. Ndani sana, km unaenda sikonge
  6. K

    JamiiForums Tanzania Nahitaji line ya M-Pesa

    Unaihitaji haraka sana? Maana me home Singida, mwisho wa mwezi naweza kuwa Singida..
  7. K

    JamiiForums Tanzania Nahitaji line ya M-Pesa

    Niko na voda tu. Upo wapi wewe, maana distance inaweza kuwa kikwazo kwa biashara kufanyika
  8. K

    JamiiForums Tanzania Nahitaji line ya M-Pesa

    Napatikana tabora aisee
  9. K

    JamiiForums Tanzania Nahitaji line ya M-Pesa

    Ninayo mzee, line zote mbili, ya kazi na control. Bei laki 1 tu.
  10. K

    JamiiForums Tanzania Maamuzi magumu: Nataka kwenda masomoni...

    Usiache kwanza ualimu, omba ruhusa ukasome huku ukiendelea kuwa mtumishi. Itakusaidia kufanya transition nzuri kwenda kwenye fani mpya unayoenda ukasome. Mambo yakigoma kwenye sheria unarudi kwenye ualimu wako. Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
  11. K

    JamiiForums Tanzania Line za Tigopesa, M-pesa, Airtelpesa na halotelpesa zinahitajika

    Ninayo M_pesa line, tshs 150,000/= nicheki kwa 0768 407939
  12. K

    JamiiForums Tanzania Mfumuko wa bei wapanda kwa asilimia 1.4

    OK we u r 4 3333333.437223323362434 O5
  13. K

    JamiiForums Tanzania Series (Special thread)

    Hii teraniumTv ipo playstore? Au unai download toka wapi kuja kwa simu! Msaada tafadhali..
Back
Top Bottom