Special thread: Movie zote uzipendazo kwa kubofya mara moja tu

Heshima Mkuu FRANCIS DA DON .

Nawezaje ku-download movie ya Solomon Mahlangu pasina kuwa na u-torrent?.

Huwa nafanya kuandika ss nyuma ya neno youtube pindi niingiapo youtube ku-download chochote.Sasa hii movie imenishinda, kila nikii-donload inakataa.Je tatizo litakuwa nini?.

Msaada please.
Working on it
 
Katika uzi huu, nitakuwa naweka link za moja kwa moja za kupakua sinema kali kabisa (compressed za 300MB tu!) zilizowahi kutokea, utaweza kuzipakua na kuziangalia moja kwa moja kwenye simu au tarakilishi yako, bure kabisa, karibuni tufurahie maisha. Pia nitapokea mapendekezo ya sinema za kuweka.

[Maelekezo: Bofya 'create download link>>', halafu bofya 'Click here to download', Baada ya ku-create download link, itumike ndani ya saa 24]

Kwa sasa nitafanya majaribio ya ku-generate links za movie zifuatazo. (Bofya sinema uipendayo), uzuri ni kwamba, unaweza kuangalia sinema huku inaendelea kupakua, hata kama imefika 5% tu.

1.) Final Destination 1 [Bofya hapa] , 2 [Bofya hapa] , 3 [Bofya hapa] , 4 [Bofya hapa] , 5 [Bofya hapa]
2.) The Mummy 2017 [Bofya hapa]
3.) Rings 2017 [Bofya hapa]
4.) X-Men: Logan 2017 [Bofya hapa]
5.) Pirates of the Carribean 5: Dead men tell no lies 2017 [Bofya hapa]
6.) Inferno 2016 [Bofya hapa]
7.) Dimensions 2011 [Bofya hapa]
=============================
8.) Under world: Blood wars 2016 [Bofya hapa]
9.) Hidden figures 2016 [Bofya hapa]
10.) Kong: Skull island 2017 [Bofya hapa]
11.) Doctor strange 2016 [Bofya hapa]
12.) 28 Days later 2002 [Bofya hapa]
13.) Battle Los Angeles 2011 [Bofya hapa]
Asante mkuu, kama unayo pia muvi ya CAPTAIN PHILIP naomba uiweke pia mkuu.
 
Mkuu niki download inanida registration! Nime register ikanitaka niweke account number na password! Ndivyo ilivyo au ni kwangu tu?
 
Hapana!, bofya 'create download link', halafu bofya 'click to download', then 'save', basi! ,hapo umebonyeza vitu vingine nadhani
 
IMG_00000812.png
Hapana!, bofya 'create download link', halafu bofya 'click to download', then 'save', basi! ,hapo umebonyeza vitu vingine nadhani
 
Katika uzi huu, nitakuwa naweka link za moja kwa moja za kupakua sinema kali kabisa (compressed za 300MB tu!) zilizowahi kutokea, utaweza kuzipakua na kuziangalia moja kwa moja kwenye simu au tarakilishi yako, bure kabisa, karibuni tufurahie maisha. Pia nitapokea mapendekezo ya sinema za kuweka.

[Maelekezo: Bofya 'create download link>>', halafu bofya 'Click here to download', Baada ya ku-create download link, itumike ndani ya saa 24]

Kwa sasa nitafanya majaribio ya ku-generate links za movie zifuatazo. (Bofya sinema uipendayo), uzuri ni kwamba, unaweza kuangalia sinema huku inaendelea kupakua, hata kama imefika 5% tu.

1.) Final Destination 1 [Bofya hapa] , 2 [Bofya hapa] , 3 [Bofya hapa] , 4 [Bofya hapa] , 5 [Bofya hapa]
2.) The Mummy 2017 [Bofya hapa]
3.) Rings 2017 [Bofya hapa]
4.) X-Men: Logan 2017 [Bofya hapa]
5.) Pirates of the Carribean 5: Dead men tell no lies 2017 [Bofya hapa]
6.) Inferno 2016 [Bofya hapa]
7.) Dimensions 2011 [Bofya hapa]
=============================
8.) Under world: Blood wars 2016 [Bofya hapa]
9.) Hidden figures 2016 [Bofya hapa]
10.) Kong: Skull island 2017 [Bofya hapa]
11.) Doctor strange 2016 [Bofya hapa]
12.) 28 Days later 2002 [Bofya hapa]
13.) Battle Los Angeles 2011 [Bofya hapa]
Safi sana
 
Hii the mummy si inatakiwa itoke July mkuu?hapa download ni full movie au trailer?
 
Back
Top Bottom