Line za Tigopesa, M-pesa, Airtelpesa na halotelpesa zinahitajika

JATELO1

JF-Expert Member
Oct 31, 2011
1,230
301
Wakuu,
Kama kichwa cha habari kinavyosomeka, nina jamaa yangu anahitaji line tajwa hapo juu. Anapatikana Dar es Salaam. Siyo lazima uwe na line zote. Hata kama una 1 au mbili kati ya hizo lines unaweza kuwasiliana naye kupitia pm hapa hapa JF au email address: lindinachingwea@gmail.com

Ahsanteni.

NB: UPDATES
Wakuu, naomba kuchukua fursa hii kuwapongeza wote waliofanikiwa kuwasiliana nami kuhusu hitaji langu la lines za wakala. Hatimaye nimefanikiwa kupata lines zote, na hivyo nawashukuru sana.

Ahsanteni sana.
 
Njoo nikupe moja....M-PESA (nipe 200,000TZS) cash. Store chip + service chip....ziko separate
 
Wakuu,
Bado sijafanikiwa kupata. Nimejaribu kuwaandikia kwa pm lakini hakuna majibu mpaka sasa. Simu pia nikipiga hazipatikani. Mwenye line hizo tajwa naomba tuwasiliane kupitia 0715060229.

Ahsanteni.
 
NB: UPDATES
Wakuu, naomba kuchukua fursa hii kuwapongeza wote waliofanikiwa kuwasiliana nami kuhusu hitaji langu la lines za wakala. Hatimaye nimefanikiwa kupata lines zote, na hivyo nawashukuru sana.

Ahsanteni sana.
 
Hivi wakuu naomba msaada kwa mliofanya hii biashara ya mpesa, tigo pesa na nyinginezo, kafaida huwa huwa kakoje, mfano nimeweka 100,000 mpesa nikahudumia watu either kutoa au kuweka ikaisha hiyo pesa kwa maksio inaleta faida ya ngapi, maana natamani sana Fanya hii biashara ila cjaijua vizuri, naomba msaada wa uelewa wakuu.
 
Back
Top Bottom