Recent content by kahuruku

  1. kahuruku

    Wangoni na wamatengo waogopeni

    Hiyo ilikuwa zamani.magono aga tilonda hela au maganga Sent using Jamii Forums mobile app
  2. kahuruku

    Naibu Spika Dkt. Tulia afunguka mazito kuhusu matibabu ya Lissu, asema hakuna double standard ktk matibabu ya wabunge

    Dada Tulia MIMI naamini wewe unamjua MUNGU.Kama hakuna ulazima WA kujibu ni Hekima kukaa kimya kuliko kujibu majibu ambayo yanataswira inayo Acha maswali mengi na kuharibu ushuhuda wako.Nivigumu sana kwako Leo hii ukiwaambia Watu kuwa umeokoka na wakakubali.Nirahisi kwako kushika mic kukitangaza...
  3. kahuruku

    Mwanamuziki Nguza Viking (Babu Seya) na Mwanaye Johnson Nguza (Papii Kocha), watoka jela kwa msamaha wa Rais Magufuli

    Mange Kimambi Alitoa taarifa pia ya WEMA SEPETU kurudi ccm 2weeks before na akaeleza sababu.Naikawa Kama alivyo eleza.
  4. kahuruku

    Mwanamke anaechepuka ni hatari kwa uhai wa mume wake kuliko hata wauwaji au silaha

    Uko Vizuri.Hakka Wanawake huongozwa na Hisia wakati wanaume huongozwa Na Tamaa
  5. kahuruku

    Ripoti maalum: Kupotea kwa Ben Saanane

    Acha kucheza na uhai wa mtu.Mwogope MUNGU
  6. kahuruku

    Imekuaje Tundu Lissu ameumia zaidi mguu wa kulia hali ya kuwa alishambuliwa upande wa kushoto

    Watanzania Rudini Ktk Nafasi yenu ya Utanzania.Inakuweje mnapoteza hofu ya MUNGU kwa kasi kiasi hiki.Tumefikia Level ya kufurahia mtu kutolewa uhai sababu tu huyo mtu Siyo wa ChamaChako.Halafu mnajiita Great Thinker.Acheni kuiga kila kitu.Huo utamaduni wa kuto thamini uhai wa mtu umezoeleka...
  7. kahuruku

    Tanga jiji la kishamba sana, nashindwa kuelewa kwanini mkoa huu ulipewa heshima ya kuitwa Jiji

    Mkuu nilikwenda Magu nilishangaa Utafikiri uko Chalinze.
  8. kahuruku

    Dar: Ofisi ya Mawakili ya Prime Attorney advocate zilizopo upanga, imevamiwa na Watu Wasiojulikana

    Kaka wengi tuko ccm lakini hatuna mawazo kama Yako wewe ndo unasababisha tutukanwe.Kwani watu wasiyo Juliana ni wa ccm?
  9. kahuruku

    Kuna utofauti gani jamani kati ya Iphone na ipod

    iPad model A 1430 64 GB inaingia SIM card na Wi Fi japo Najua kuna new version
  10. kahuruku

    Kuna utofauti gani jamani kati ya Iphone na ipod

    Mkuu IPod nyingine zinaline na zinakubali line yeyote na Zina WI FI na unaweza kupiga na kupokea uki download App.Kama hii ninayo itumia.
  11. kahuruku

    Ni nani mwanasiasa wako bora awamu ya tano?

    Hussein Bashe.Siyo mnafiki anatetea kile anachoamini ni sahihi.
  12. kahuruku

    CCM wanatembea kifua mbele

    Mkuu umesema kweli Kabisa.Angalia Mh Bashe Anavyo chukiwa kwa kusema kweli Daima.
  13. kahuruku

    Mwanamke anaweza kuishi na mwanaume asiyekuwa na kazi kwa muda wa siku 5 tu

    Tatizo lako unaleta Utani karibu na kweli.ndiyo maana unakumbana na Upinzani mkubwa
  14. kahuruku

    CCM mmetuumiza kwa ushabiki wenu

    Kizazi hiki cha .com hawawezi kuelewa kitu. Lakini Tulio kuwepo wakati WA Mwalimu tuna jua nini unacho kisema.Inauma sana unapoona kiongozi Hajitambui.
Back
Top Bottom