Ni nani mwanasiasa wako bora awamu ya tano?

Ni nani mwanasiasa wako bora awamu ya tano?

Dam55

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2015
Posts
5,669
Reaction score
12,044
Hebu tuambie katika awamu hii ya uongozi ni mwanasiasa yupi ambaye kwako unadhini ni bora zaidi kuliko wengine.
Toa na sababu kwanini unadhani ni bora zaidi.
Kwa upande wangu mwanasiasa wangu bora ni Dr Slaa.
Huyu kamwe hakukubali kujipinga mwenyewe nakuwa mnafiki wa kumtetea na kumsafisha mtu ambaye mwenyewe aliamini kuwa ni Fisadi.
Hili liliwashinda wanasiasa wengi waupinzani.
Kwasababu hii kwangu Mimi naona huyu ndiye mwanasiasa bora mwenye msimamo usio teteleka katika awamu hii.

Karibuni.
 
Ebu nifafanulie. Umesema mwanasiasa ktk awamu ya hii. Slaa anaingiaje hapo wakati ktk awamu hii hajihusishi na siasa?
 
Wakuu msisahau kutoa sababu.
Tunataka kujua ni kwanini useme huyo ni bora zaidi.
 
Back
Top Bottom