Nikweli hili in tatizo, Hii inatokana na udhaifu wa kujua tafsiri sahihi kwa valiopewa mamlaka. Wanadhanisoko huria ndio solo holela. ni vena solo huria isaidie kuleta Tija na sio kuwa holelacbila kulinda maslahi ya mmiliki. Au no makusudi mbona wasanii Nazi zao zinajulikana na kulindwa kwanini...
Wapiga debe ni wezi tu, sasa anapiga debe wakati MSAFIRI gari analiona, huo si unafiki tu. Watanzania tuungane nchi nzima kupiga vita HAWA wezi. Hawafanyi kazi HAWA. Jeshi la Polisi wawe makamanda na wananchi wrote tupambane nao. Wamiliki wa magari wawe na ofisi za kuuzia tiketi za mgari yao...
Hata Mimi hunisumbua sana akili yangu, Mara nyingi tawasikia wakubwa hawa wa nchi wakisema. nitapambana na Walimu wanao wapa mimba wanafunzi. Jambo hili husababisha Wahalifu ambao sio walimu kujisikia wao wapo salama na hawahusiki kuonekana wao pia ni wahalifu na wanastahiki adhabu Bali no...
Unauliza tucta tens, wrote sikuhizi wamekuwa waajiri. Hatuna vyama vya wafanya Nazi, pesa zetu zinaliwa bure tu. Hatustaili kukatwa tens, tucta na vyama vyote vya wafanya Nazi wanatakiwa walipwe na serikali kwani ndio wanaoifanyia kazi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilipo kuwa chuoni nikisoma maswala ya motisha, nilielewa kuwa, ili upate Tina kubwa katika mradi wako ni muhimu kutoa motisha chanya. Sielewi vema kama kuwapa madaraja watumishi wako kama ilivyo fanyika hapa nchini kwetu pasipo kuwatia mishahara inayolingana na madaraja yao inaweza kuwa ni...
Ombi kwa Mkuu wa nchi, Uhakiki uendelee wakati huohuo shughuli za marekebisho ya mishahara yaliyo sitishwa kulingana na madaraja yao mapya pamoja na uhamisho ulio sitishwa yaruhusiwe. Kwani kwa mujibu wa taarifa za Waziri mwenye dhamana Nazi ya uhakiki imekamilika ama imefikia hatua nzuri ya...
Ari itapanda tu, Walimu msiwe na wasi bado Mkuu wa nchi anajipanga vema. Kwa sasa tukae kimya kama vile hatuumii chochote. Raisi aliwahi kuwa Mwalimu hivyo anayajua vema masaibu ya WAALIMU.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mbona Maafisa UTUMISHI wanasema hawana barua au waraka unaobatilisha barua ya zuio, ukizingatia wao ndio wanaopitisha, tufanyeje wahanga wa hili?naomba msaada wako Mkuu!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Na wewe tumia akili kumwelewa mkeo, saikolojia take. Anataka mini, ili iweje, na je inatija? Baadaye amua kutokana na majibu ya maswali hayo. Usishauriwe nawe ukatekeleza bila utafiti wako mwenyewe na umefanya vema kuomba ushauri kabla hujakurupuka.
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.