Wafanyakazi hasa kada ya uwalimu wako "desperated "

Wafanyakazi hasa kada ya uwalimu wako "desperated "

Ombi kwa Mkuu wa nchi, Uhakiki uendelee wakati huohuo shughuli za marekebisho ya mishahara yaliyo sitishwa kulingana na madaraja yao mapya pamoja na uhamisho ulio sitishwa yaruhusiwe. Kwani kwa mujibu wa taarifa za Waziri mwenye dhamana Nazi ya uhakiki imekamilika ama imefikia hatua nzuri ya kuridhisha. Hali ni mbaya kwa Watumishi kwa sasa hususan Walimu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zamani baba zetu walikuwa wakiapata mshahara wa shilingi 30 , 50,700 nk lakini waliikuwa na hali kuu ya kufanya kazi, lakini kwa leo ni ndoto, mkae mkijua Mwalimu nadhani ni mtu pekee ambaye ndiye anatoa muongozo wa mtu hadi kufika kwenye malengo yake, ni wachache sana wasiopitia mikono ya mwalimu. Sasa mwalimu wa leo ataanzaje labda kufanya kazi kwa hari?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiukwel walimu wanateseka sana hiv leo kuna mwalimu kaja kuniomba aweke ubuyu kwenye ofisi yangu yani unamuona hali sio nzuri kabisa.

python mobile
 
Halafu kibaya zaid kipindi kile walikuwa wanauwezo wa kuweka mgomo ulio wazi lakin saiv hawana ...hii hatari sana katika elimu yetu sana

python mobile
 
Back
Top Bottom