Na wewe tumia akili kumwelewa mkeo, saikolojia take. Anataka mini, ili iweje, na je inatija? Baadaye amua kutokana na majibu ya maswali hayo. Usishauriwe nawe ukatekeleza bila utafiti wako mwenyewe na umefanya vema kuomba ushauri kabla hujakurupuka.
Usikurupuke kwenda kwa Rafiki yako bila uthibitisho. Anaweza kukana, ila usimchukie bali umwelezee tu kiroho saaaafi.
Ongea vizuri na rafiki yako, pia ongea kwa akili na mke wako.
Anakwambia wote wanaomtongoza au tangu muowane huyo alomtongoza ndio wa kwanza? akienda sokoni wanaomuongeza vitunguu anakwambia nimeongezwa? sikia mkuu wanawake wengine hua na mbinu za ajabu
sasa jaribu kupima mambo mengine ukiwa kama mwanamme usiamini yote utakayo ambiwa..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.